Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MABESTE ASEMA ALIVYOTENGWA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mabeste: Mabeste asimulia mke wake alivyougua kwa muda mrefu hadi kudhani atampoteza

Rapper Mabeste ameeleza kwa urefu jinsi mke wake alivyougua kwa muda mrefu mara tu baada ya kujifungua mtoto wao wa kwanza, Kendrick. Mabeste amesema mke wake ambaye pia ndio meneja wake alizidiwa hadi ikafika wakati akahisi atampoteza. Kupitia Instagram, hivi ndivyo alivyoandika: “Wabongo hawakosi cha kusema! Okay its true my fans nime wa promise sana […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Nesi wa Ebola alalama alivyotengwa

Muuguzi aliyetengwa aliporejea nchini Marekani baada ya kuwatibu wagonjwa wa ebola nchini Sierra Leone amelalamikia .

 

10 years ago

Vijimambo

Nesi wa Ebola alalama alivyotengwa-BBC


Muuguzi aliyetengwa aliporejea nchini Marekani baada ya kuwatibu wagonjwa wa ebola nchini Sierra Leone amelalamikia jinsi alivyohudumiwa.

Sheria mpya zilizotangazwa na majimbo matatu nchini Marekani yakiwemo New York , New Jersey na Illinois zinamaanisha kuwa kila mtu anayerejea kutoka nchi yoyote ya Afrika magharibi iliyoathirika na ugonjwa wa ebola, na huenda amekaribiana na wale walio na ugonjwa huo ni lazima awekwe kwenye karantini kwa muda wa wiki tatu

Kaci Hickox anasema kuwa hali...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Muuguzi wa Kenya asimulia alivyotengwa kwa kuwahudumia wagonjwa wa corona

Kumekuwa na unyanyapaa dhidi ya wahudumu wa afya wanaoshughulikia wanaougua corona na wale waliopona.

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Cjamoker f/ Mabeste – Sijaona

IMG-20151116-WA0004

Ngoma mpya ya rapper Cjamoker aliomshirikisha Mabeste, ‘Sijaona.’

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

New Music: Mabeste — Usiwe Bubu

Rapper Mabeste ameachia ngoma mpya iitwayo ‘Usiwe Bubu’ anayowataka wazazi kutonyamazia masuala mbalimbali yanayotokea kwenye familia zao. Usikilize hapa.

 

10 years ago

CloudsFM

MSANII MABESTE KUFUNGA NDOA 'SOON'

MSANII wa Hip Hop Bongo,Mabeste anatajia kufunga ndoa hivi karibuni na mpenzi wake wa siku nyingi ambaye amezaa naye mtoto mmoja aitwaye Kendrick.Kupitia mtandao wa Instagram Mabeste aliandika hivi:Wow..we are getting married soon..Mama Ken Nishike mkono nipeleke high level..Sayari nyingine juu bye devil.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani