Mabilioni yaliyotolewa na Resolute yaleta kizaazaa
MBUNGE wa Nzega, Dk Hamis Kigwangallah ameongoza maandamano ya wananchi zaidi ya 2,000 wilayani Nzega kupinga matumizi ya Sh bilioni 21, yaliyoidhinishwa na Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya juu ya fedha za ushuru wa huduma kutoka mgodi wa dhahabu wa Resolute.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Mvua yaleta kizaazaa
Vifo, uharibifu wa mali, miundombinu na mafuriko, msongamano wa magari, baadhi ya wakazi wa jiji hilo kukimbia makazi yao, wengine kulala kwenye magari na nyumba za wageni vimewakumba wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa siku ya nne mfululizo.
9 years ago
TheCitizen08 Nov
CRICKETING MATTERS :South African cricketers continue to be resolute
On 25th October 2015, less than a month back, when India lost its bearings against South Africa in the ODI in Mumbay it sent a clear message to the pundits of the game that spin was no longer India’s forte.
10 years ago
AllAfrica.Com18 Nov
Tanzania: Resolute Action Needed to Combat Soaring Rape Cases
AllAfrica.com
"THIS is cruelty of the highest degree. You cannot believe it," remarked a court official, who pleaded anonymity. Such a statement attracted the attention of many people in the court. Upon inquiry, it was known later that an old man was found guilty of raping a ...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7SjAIVBvgGs/VIxGKNbvGqI/AAAAAAAG3DU/lsYiE6gdj1I/s72-c/unnamed%2B(29).jpg)
Hafla ya kukabidhi Mgodi wa Resolute kwa Chuo cha Madini Dodoma
Na Asteria Muhozya, Nzega Mgodi wa Resolute uliopo Wilayani Nzega Mkoani Tabora jana tarehe 12 Desemba, 2014, ulikabidhi eneo la Mgodi kwa Chuo cha Madini Dodoma katika hafla fupi iliyofanyika na kuhudhuriwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, anayeshughulikia madini Stephen Masele.Wengine walioshuhudia ni, Mkuu wa Wilaya ya Nzega aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Bituni Msangi, Viongozi Waandamizi wa Wilaya ya Nzega, Kaimu Kamishna wa Madini, Mhandisi Ally Samaje, Kamati ya...
5 years ago
MichuziDC MBONEKO APOKEA MAPIPA 20 YALIYOTOLEWA NA KASHWASA KUKABILIANA NA COVID - 19 SHINYANGA
Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira katika mji wa Kahama na Shinyanga (Kahama Shinyanga Water Supply and Sanitation Authority(KASHWASA) inavyozalisha na kusambaza maji katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, Mhandisi Joshua Mgeyekwa akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko mapipa 20 yenye ujazo wa lita 210 kila moja kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za serikali katika mapambano dhidi ya Virusi Vya Corona ‘Covid – 19’ kwenye maeneo...
11 years ago
Michuzi21 Jun
WAANDISHI WA HABARI WA MKOA WA NJOMBE WAKABIDHIWA VYETI VYA USHIRIKI WA MAFUNZO YALIYOTOLEWA NA MCT
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qY1vg3R0ul0/VCQeKr5yMII/AAAAAAAGlvQ/adTmMSaJHjQ/s72-c/unnamed%2B(9).jpg)
BALOZI SEIF ALI IDD AKANUSHA MADAI MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA GAZETI LA MTANZANIA KUHUSU KUJIUZULU KWA MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-qY1vg3R0ul0/VCQeKr5yMII/AAAAAAAGlvQ/adTmMSaJHjQ/s1600/unnamed%2B(9).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-UatwPMY_cFo/VCQeKVrwfuI/AAAAAAAGlvM/HroF3h7LDYA/s1600/unnamed%2B(10).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-FOrbVArBTUA/VCQeMNqShrI/AAAAAAAGlvc/5UFcbBKdCK0/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-F_H2aWVQ9oU/VCQeQNrbX5I/AAAAAAAGlvk/3QKIh_jndRE/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.
MAKAMU wa...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/-sg7R0dNX9M/default.jpg)
UFAFANUZI JUU YA MALALAMIKO YALIYOTOLEWA NA MH. DUNI JUU YA UWEPO WA VITUO HEWA
ufafanuzi na jinsi ambavyo Kamati ya Maadili ya vyama vyenye wagombea Urais Taifa Ilivyo shughulikia malalamiko toka kwa Mgombea Mwenza wa CHADEMA Ndg J. Duni , kwamba Tume ya taifa ya Uchaguzi imeandaa Vituo vya wapiga kura HEWA zaidi ya 20,000.Viambatanisho 1. Maamuzi ya Kamati 2. Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid
11 years ago
Mwananchi12 Feb
RC Geita aleta kizaazaa
Wamiliki wa Kampuni za Kusambaza Mbegu za Pamba na Dawa za kuua wadudu Kanda ya Ziwa, wamekamatwa na polisi ndani ya mkutano wa kawaida wa wadau wa bodi ya pamba, uliofanyika jana katika ukumbi wa halmashauri wilayani hapa mkoani Geita kwa tuhuma za kuhujumu zao hilo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania