Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua yaleta kizaazaa

Vifo, uharibifu wa mali, miundombinu na mafuriko, msongamano wa magari, baadhi ya wakazi wa jiji hilo kukimbia makazi yao, wengine kulala kwenye magari na nyumba za wageni vimewakumba wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa siku ya nne mfululizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mabilioni yaliyotolewa na Resolute yaleta kizaazaa

Dk Hamis KigwangallahMBUNGE wa Nzega, Dk Hamis Kigwangallah ameongoza maandamano ya wananchi zaidi ya 2,000 wilayani Nzega kupinga matumizi ya Sh bilioni 21, yaliyoidhinishwa na Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya juu ya fedha za ushuru wa huduma kutoka mgodi wa dhahabu wa Resolute.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mvua yaleta uharibifu Tz

Kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mashamba, nyumba na miundo mbinu. Zaidi ya watu 3000 hawana makazi Morogoro wakisubiri msaada.

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaleta maafa

Mvua kubwa iliyonyesha juzi katika Kijiji cha Kasense, imesababisha hasara ya Sh88 milioni, baada ya kuharibu nyumba mbalimbali zikiwamo za wanakijiji, taasisi na nyumba za ibada, likiwapo Kanisa Katoliki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mvua yaleta maafa Msumbiji

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Msumbiji zimesababisha maafa makubwa ambapo watu kadhaa wamefariki na wengine kupoteza makazi yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mvua yaleta maafa Lugoba

MVUA iliyoambata na upepo mkali iliyonyesha hivi karibuni imeezua nyumba zaidi ya 150, huku kati ya hizo kuta zake zikiwa zimeanguka na kuwafanya wahanga wa tukio hilo kutafuta msaada wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mvua yaleta maafa Angola

Watu 60 wakiwemo watoto 35 wamefariki dunia kufuatia mvua nyingi iliyonyesha nchini Angola.

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaleta maafa, yaezua nyumba 83 Meatu

>Kaya 83 zimeezuliwa kutokana na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali, huku  takriban ekari 15 za mazao mbalimbali zikiharibiwa.

 

10 years ago

GPL

MVUA YALETA MAAFA MAKUBWA WILAYANI KAHAMA, SHINYANGA

Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. (CHANZO: RADIO1 STEREO)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani