Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maboresho yaongeza PhD 79 UDSM, OUT

WAKATI Serikali ikipambana kuhakikisha wimbi la wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita nchini, wanapata fursa ya kujiunga na elimu ya juu, wanafunzi 9,649 wenye sifa ya kupata mikopo ili wajiunge na elimu ya juu mwaka huu, wamekosa fursa hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Stars maboresho kuivaa Rwanda

Stars maboresho itapambana na Rwanda katika mechi ya kirafiki itakayofanyika Mwanza kaskazini magharibi mwa Tanzania

 

10 years ago

Mwananchi

Wadai maboresho ya sheria sasa

Wataalamu wa sekta ya usanifu majengo na ukadiriaji wameshauri maboresho ya sheria ya ununuzi namba saba ya mwaka 2011 ili iendane na mahitaji ya sekta ya ujenzi nchini.

 

11 years ago

Michuzi

WACHEZAJI MABORESHO STARS WATAJWA

Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 16 waliochaguliwa katika maboresho ya timu ya Taifa Taifa Stars kwenye hoteli ya Hill View jijini Mbeya.
Wachezaji hao ni kipa Benedicto Tinoko Simwanda (Temeke), mabeki wa kati; Emma Namwondo Simwanda (Temeke) na Joram Nason Mgeveje (Iringa). Walinzi wa pembeni ni Omari Ally Kindamba (Temeke), Edward Peter Mayunga (Kaskazini Pemba) na Shiraz Abdallah Sozigwa (Ilala).
Viungo ni Yusuf Suleiman Mlipili (Temeke),...

 

9 years ago

Habarileo

NHIF yatangaza maboresho ya huduma

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza kuboresha orodha ya huduma na gharama zinazolipwa kwa watoa huduma kwa ajili ya kufanikisha huduma hizo. Aidha, imefunga mfumo wa malipo wa elektroniki katika maduka yote ya dawa yaliyosajiliwa na NHIF ambao unaruhusu uchakataji wa madai ya dawa kwa kila siku.

 

11 years ago

TheCitizen

There are many things to do with a PhD

>A new generation of young scholars are changing common perceptions about people who hold masters and PhD degrees. Gwamaka Kifukwe is one of these people.

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS MABORESHO YAREJEA DAR

Kikosi cha Taifa Stars Maboresho kinarejea leo Dar es Salaam kutoka Bulyanhulu mkoani Shinyanga ambapo kiliweka kambi kwa ajili ya mechi ya kimataifa dhidi ya Burundi itakayochezwa Desemba 9 mwaka huu.
Timu hiyo ambayo leo asubuhi imefanya mazoezi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa ndege ya Fastjet saa 12.30 jioni na kwenda moja kwa moja kambini hoteli ya Tansoma.
Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kesho...

 

11 years ago

GPL

MABORESHO TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA

KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam juzi na kukubaliana masuala mbalimbali juu ya kuboresha tuzo hizo. Tarehe ya Tuzo
Kamati imepanga kuwa tuzo hizo zifanyike Juni 27, 2014 jijini Dar es Salaam katika ukumbi utakaotangazwa kwa ushirikiano wa Kamati ya Tuzo na Kamati ya Utendaji ya TASWA. Tayari Kamati ya Tuzo na...

 

11 years ago

Mwananchi

Nooij apiga chini ‘Stars Maboresho’

Kocha wa Taifa Stars, Martinus Nooij amewatema wachezaji wote wa mpango maalumu wa kuiboresha timu hiyo kwenye kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 22 alichokitangaza jana kwa ajili ya mechi dhidi ya Zimbabwe ya kusaka tiketi za kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika 2015 itakayochezwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

TAIFA STARS MABORESHO YAINGIA KAMBINI

Kikosi cha Taifa Stars Maboresho kimeingia kambini leo (Desemba 1 mwaka huu) Bulyanhulu mkoani Shinyanga kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa Desemba 9 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Ikiwa chini ya Kocha Mart Nooij, Stars Maboresho itapiga kambi mkoani humo hadi Desemba 6 mwaka huu ambapo itarejea jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya mechi hiyo itakayochezwa Uwanja wa Taifa. Wachezaji walioingia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani