Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadai maboresho ya sheria sasa

Wataalamu wa sekta ya usanifu majengo na ukadiriaji wameshauri maboresho ya sheria ya ununuzi namba saba ya mwaka 2011 ili iendane na mahitaji ya sekta ya ujenzi nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mdahalo wa wagombea Ukawa wadai hawana muda kwa sasa

Umoja wa Vyama vinavyounda Ukawa umesema kwa sasa haupo tayari kushiriki midahalo inayoandaliwa na Taasisi za Kijamii kwa wakati ni huu na kupinga kauli iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania, Kajubi Mukajanga kuwa amewapa mwaliko si kweli.

Ukawa wamesema, si kweli kwamba wamepata mwaliko kutoka MCT na kudai kuwa kauli ya kiongozi huyo wa chombo kinachoheshimika ni ya upotosha. 

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mwenyekiti mweza wa Umoja wa Ukawa,...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge ataka marekebisho ya sheria sasa

Mbunge wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (Chadema) ameitaka Serikali kupeleka bungeni haraka sheria ya uhujumu uchumi ili ifanyiwe marekebisho ya kuongezewa nguvu.

 

11 years ago

Mwananchi

Sheria za migodi sasa kubadilishwa nchini

Serikali inaendelea na majadiliano na wawekezaji wa migodi mikubwa nchini ili kubadilisha baadhi ya vifungu vya sheria, kanuni na sera vilivyomo katika mikataba isiyoinufaisha nchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Sheria ya ndoa sasa kupigiwa kura ya maoni

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angellah Kairuki amesema kuwa Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 iko kwenye mchakato wa kurekebishwa kutokana na utata unaokinzana na sheria nyingine za masuala ya kijinsia.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge sasa kujadili sheria ajira za wageni

KAMATI za Kudumu za Bunge zinazotarajiwa kukutana Dar es Salaam kwa siku 11 kuanzia Jumanne ijayo, zinatarajiwa pamoja na mambo mengine, kujadili na kuchambua miswadi 11 ya sheria, ikiwamo ya udhibiti wa ajira za wageni.

 

10 years ago

Dewji Blog

Muswada wa Sheria ya Habari sasa April mwaka huu

6

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Saidi Mtanda akiwasilisha taarifa ya kamati.

Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma

SERIKALI inatarajia kuwasilisha Muswada wa Sheria ya Habari katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la mwezi April mwaka huu ili kujadiliwa na kupitishwa kuwa Sheria kamili.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii Saidi Mtanda wakati akiwasilisha taarifa ya kazi za kamati yake kuanzia Januari 2014 hadi Januari 2015.

Alisema muswada huo...

 

9 years ago

Raia Mwema

Naona kwamba sasa inabidi kutunga sheria nyingine ya Makosa ya Jukwaa

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

5 years ago

Michuzi

WAENDESHA BODABODA KINONDONI WAHIMIZWA KUFUATA SHERIA, WAKWAPUAJI SASA KUKIONA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
WAENDESHA wa usafiri Bodaboda wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam wametakiwa kufuata sheria katika kutoa huduma hiyo ya kubeba na kusafirisha abiria kutoka eneo moja kwenda jingine.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo amesema hayo wakati akizungumza na Michuzi Blog, ambapo amefafanua kuwa kuna kila sababu ya kuhakikisha waendesha bodaboda wanazingatia sheria kwani wale ambao watabainika kukiuka watachukuliwa hatua.
Hata hivyo amesema kwa sasa hali ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: ALIPWA USD 90,000 KWA KUISHTAKI KAMPUNI YA SIMU, NA WEWE CHUKUA HATUA SASA

Na  Bashir  Yakub.
Makampuni  ya  simu  kama  Vodacon, Airtel, Tigo, Zantel, Sasatel, na  mengineyo  yamekuwa  yakitenda  makosa  mbalimbali  kwa wateja  wao.  Mara  kwa  mara  wateja  wa  simu  wamekuwa  wakilalamikia  matendo  ya  makampuni   haya  lakini  wengi  wao  wamekuwa  hawachukui  hatua  zaidi  ya  kulalamika. Ni  watu  wachache  mno  ambao  wamekwishachukua  hatua  za  kisheria  dhidi  ya  makampuni  haya licha  ya  uonevu  mkubwa wa   kihuduma   wanaousababisha.   Ukiangalia  kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani