MABORESHOYA SHERIA NA KANUNI YANAVYORAHISISHA UTOAJI WA HAKI

NA INNOCENT KANSHA - Mahakama Mahakama ya Tanzania imefanya Maboresho na inaendelea kufanya maboresho katika maeneo yote muhimu ya utendaji kazi kupita nguzo tatu za Mpango Mkakati wa Miaka Mitano ulioanza kutekelezwa mwaka 2015/16 hadi mwaka 2019/20. Nguzo hizo ni Utawala, Uwajibikaji na Matumizi ya Bora ya Rasilimali, Upatikanaji wa haki sawa kwa wote na kwa wakati na Kujenga taswira chanya na Kurejesha imani ya wananchi kwa Mahakama. Hivyo maboresho ya sheria na kanuni mbalimbali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
Tanzania yapokea mwongozo mpya wa Sheria na Kanuni za Haki za Binadamu
Tanzania imepokea mwongozo mpya juu ya Sheria na Kanuni zinazohusu haki za polisi kumweka mtuhumiwa chini ya ulinzi na kabla ya kesi kusikilizwa ili kuwapa uelewa wa kutosha wananchi juu ya haki zao za msingi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Katibu mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi.Mary Massay amesema mtuhumiwa anatakiwa kumhoji polisi kosa gani amekamatwa nalo kabla ya kufikishwa kituoni.
Bi Massay alisema wananchi wengi wamekuwa...
9 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi05 Aug
5 years ago
Michuzi
Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu

Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...
10 years ago
VijimamboKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBAâ€
KITUO cha Sheria na Haki za...
10 years ago
GPLKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBA
10 years ago
Michuzi
MAHAKAMA YA TANZANIA INAENDELEA KUKUBORESHA UTOAJI HUDUMA ZA HAKI


11 years ago
Habarileo13 Mar
Waomba kanuni Sheria ya Ukimwi 2008 kutekelezeka
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imeombwa kuharakisha kutunga kanuni za Sheria ya Kuzuia na Kudhibiti Ukimwi ya mwaka 2008 ili iweze kutekelezwa kupambana na unyanyapaa na kupunguza maambukizi mapya nchini.
10 years ago
Michuzi
WASIMAMIZI WAASWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU

