Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waomba kanuni Sheria ya Ukimwi 2008 kutekelezeka

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imeombwa kuharakisha kutunga kanuni za Sheria ya Kuzuia na Kudhibiti Ukimwi ya mwaka 2008 ili iweze kutekelezwa kupambana na unyanyapaa na kupunguza maambukizi mapya nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

‘Simamieni uchaguzi mkiwa mnazielewa sheria, kanuni’

KAMANDA wa Polisi mkoani hapa, Leonard Paulo (pichani) ametoa mwito kwa vyombo vya ulinzi na usalama vitakavyohusika kusimamia vituo vya uchaguzi Oktoba 25, kuhakikisha vinatekeleza wajibu huo vikiwa na uelewa wa sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi.

 

5 years ago

Michuzi

MABORESHOYA SHERIA NA KANUNI YANAVYORAHISISHA UTOAJI WA HAKI

NA INNOCENT KANSHA - Mahakama Mahakama ya Tanzania imefanya Maboresho na inaendelea kufanya maboresho katika maeneo yote muhimu ya utendaji kazi kupita nguzo tatu za Mpango Mkakati wa Miaka Mitano ulioanza kutekelezwa mwaka 2015/16 hadi mwaka 2019/20. Nguzo hizo ni Utawala, Uwajibikaji na Matumizi ya Bora ya Rasilimali, Upatikanaji wa haki sawa  kwa wote na kwa wakati na Kujenga taswira chanya na Kurejesha imani ya wananchi kwa Mahakama. Hivyo maboresho ya sheria na kanuni mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

WASIMAMIZI WAASWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU

 Mwanasheria wa tume ya uchaguzi Bw.Mtibora Seleman akifafanua jambo wakati wa semina hiyo. Wanasemina wakifatilia kwa karibu mafunzo hayo yanayofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.UCHAGUZI MKUU MAANDALIZI KANDA YA ZIWA YAENDELEA VIZURINa Atley Kuni- The Power of Media grew.IMEFAHAMIKA kwamba maandalizi muhimu ya uchaguzi mkuu kwa mikoa ya kanda ya ziwa yanaendelea vizuri huku, waratibu wa uchaguzi, wasimamizi na maafisa uchaguzi kutoka mikoa ya Mwanza na Mara wakiaswa...

 

11 years ago

Habarileo

Waomba sheria kurekebishwa kuwabana wadhalilishaji

WANAHARAKATI na wananchi wa kijiji cha Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja wameitaka Serikali kuifanyia marekebisho sheria ya ushahidi ili kwenda na wakati na kuwatia hatiani watu wanaobainika kujishughulisha na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia ikiwemo ubakaji.

 

10 years ago

GPL

TUME YA UTUMISHI YATOA TATHMINI YA SHERIA, KANUNI NA AJIRA

Naibu Katibu wa Tume ya Utumishi wa  Umma akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakisikiliza taarifa ya tume hiyo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Sheria ya Ukimwi haitekelezeki’

UTEKELEZAJI wa sheria ya Kuzuia Ukimwi ya mwaka 2008, umekuwa mgumu kutokana na kutokuwapo kwa kanuni. Hayo yalielezwa jijini Dar es Salaam jana na Msimamizi wa Mradi wa Asasi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Waomba sheria ndogo kudhibiti wanaojifungulia majumbani

BAADHI ya wananchi wameshauri zitengenezwe sheria ndogo za kubana wanaokwepa kujifungulia hospitalini kwa kuamua kubaki nyumbani na kutumia wakunga wa jadi.

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yapokea mwongozo mpya wa Sheria na Kanuni za Haki za Binadamu

Na Rose Masaka,Maelezo 
 Tanzania imepokea mwongozo mpya juu ya Sheria na Kanuni zinazohusu haki za polisi kumweka mtuhumiwa chini ya ulinzi na kabla ya kesi kusikilizwa ili kuwapa uelewa wa kutosha wananchi juu ya haki zao za msingi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Katibu mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi.Mary Massay amesema mtuhumiwa anatakiwa kumhoji polisi kosa gani amekamatwa nalo kabla ya kufikishwa kituoni.
Bi Massay alisema wananchi wengi wamekuwa...

 

9 years ago

StarTV

Wanahabari washauriwa kuzingatia sheria, na kanuni za uandikaji habari za bunge

 

Waandishi wa habari nchini wameshauriwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za uendeshwaji wa Bunge wakati wa kutoa habari zinazohusu Bunge kwa kuripoti habari zenye kuwagusa wananchi moja kwa moja kwa manufaa ya Watanzania .

Ushauri huo umetolewa na waandishi habari waandamizi ambao wamewataka waandishi kuacha kuandika habari kwa ushabiki usiokuwa na tija kwa wananchi bali kuzingatia miiko ya taaluma hiyo.

Wakati wabunge wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wakiendelea na Usajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani