Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Machinjio haramu yaanzishwa Dodoma

Uongozi wa Kiwanda cha Nyama Dodoma, umedai kuwa kuna machinjio haramu yasiyofuata taratibu za afya yanayoingiza nyama katika mabucha na kuwauzia wateja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Baadhi ya machinjio jijini Dar es Salaam hayakidhi vigezo vya mazingira ya machinjio - Waziri Mahenge

Na Victor Mariki – Ofisi ya Makamu wa Rais
Baadhi ya machinjio jijini Dar es Salaam hayakidhi vigezo vya mazingira ya machinjio, hali ambayo huatarisha afya za wakazi wanaozunguka maeneo hayo ikiwemo pamoja na wafanyakazi machinjioni humo.
Hayo yalibainika wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu ya Rais - Mazingira, Mh. Binilith Mahenge alipofanya ziara ya ukaguzi mazingira katika baadhi ya machinjio hayo jijini humo leo.
Katika ziara hiyo, Mh. Mahenge alitembelea machinjio ya Ukonga na...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. CHIKU GALLAWA AMEFANYA ZIARA YA UKAGUZI KWENYE MACHINJIO YA KISASA KIZOTA MKOANI DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akifanya ziara ya ukaguzi kwenye machinjio ya Kisasa Kizota Mjini Dodoma Januari 9, 2015. Muu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kushoto) akikaga vifaa vinavyotumika kwenye uchinjaji mifugo na uandaji wa nyama kwenye machinjio ya Kisasa Kizota Mjini Dodoma Januari 9, 2015. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akikagua utunzaji wa nyama kwenye chumba maalumu cha kutunzia nyama zinazosubiri kusafirishwa kwenye machinjio ya Kisasa Kizota Mjini...

 

10 years ago

Michuzi

Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini

 Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Dodoma SACP David Misime---Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini  tarehe 14.01.2015 majira ya 05:30 (kumi na moja alfajiri).        Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime  ameeleza kuwa chanzo cha wananfunzi hao wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAHAMIAJI HARAMU 64 RAIA WA ETHIOPIA WAKAMATWA MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Wananchi limewakamata Wahamiaji haramu 64  raia wa nchi ya ETHIOPIA (Wahabeshi) katika Kijiji cha KIDOKA, Kata ya KIDOKA, Tarafa ya GOIMA, Wilaya ya na CHEMBA na Mkoa wa DODOMA, mmoja kati yao alikutwa akiwa amefariki dunia aliyetambuliwa kwa jina moja la TAJIRU anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 – 30. Watu hao walikuwa wakisafirishwa kwa Lori lenye namba za usajili T.353 AYW Mitsubishi...

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LINAWASHIKILIA WAHAMIAJI HARAMU RAIA WA ETHIOPIA NA MALAWI KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI.

 Watu  waliokamatwa kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria  Afisa uhamiaji mkoa wa Dodoma Ally Haji Amil  Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma SACP David Misime.
Habari na Sylvester Onesmo, picha
na Peter Simoni wa Jeshi la Polisi Dodoma. ---------------- Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watu wanne raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria, watu hao walikamatwa kufuatia taarifa ya raia wema waliokuwa wakisafiri nao katika basi hilo. Kamanda wa Polisi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kituo cha kuendeleza Samaki Kanda ya Kati chatoa siku saba kwa wavuvi haramu kusalimisha zana haramu wanazotumia

SAM_0161

Baadhi ya nyavu haramu zisizoruhusiwa kutumika kuvulia samaki kwenye bwawa la Kijiji cha Mwanzugi,wilayani Igunga.

SAM_0148

Ofisa Uvuvi Mfawidhi Kituo cha kuendeleza ufugaji samaki kanda ya kati, Bwana Renatus Charles Karumbete akitoa maelezo ya namna samaki wanavyozalishwa katika kituo hicho.

Na. Jumbe Ismailly

[IGUNGA] Kituo  cha kuendeleza samaki Kanda ya kati,chenye makao yake makuu wilayani Igunga,Mkoani Tabora kimetoa muda wa siku saba kuanzia sasa kwa watu wote wanaojishughulisha na uvuvi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kodi ya kugharamia AU yaanzishwa

Mkutano wa siku mbili wa viongozi wa nchi za Umoja wa Afrika, umependekeza kuanzisha kodi ili kugharimia shirika hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Miradi ya kuzalisha nishati yaanzishwa

Gharama ya nishati barani Afrika inakisiwa kuwa ghali zaidi kuliko mabara mengine duniani

 

11 years ago

Tanzania Daima

Studio yaanzishwa kuwabeba chipukizi

KAMPUNI ya Rubi Record inayojihusisha kurekodi audio na video za nyimbo, imezinduliwa hivi karibuni eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuwainua wasanii wachanga. Akizungumza jijini Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani