Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAD ICE: SHOO ZA DIAMOND HAZIPO KWENYE TASTE YANGU

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAD ICE MKONGWE WA MUZIKI ANAYEVUTIWA NA LINEX

Stori: Deogratius Mongela MMOJA wa wasanii wa muda mrefu kunako Bongo Fleva, Ahmed Mohamed Kakoyi ‘Mad Ice’, ambaye kwa sasa anafanya muziki wake kimataifa zaidi, amesema anavutiwa na wasanii wa nyumbani, lakini anasikitika kwamba wengi wao wanaiga muziki wa Nigeria. Msanii wa muda mrefu kunako Bongo Fleva, Ahmed Mohamed Kakoyi ‘Mad Ice’, Katika mahojiano maalum yaliyofanyika ofisini kwake, Mikocheni...

 

11 years ago

GPL

MAD ICE AKIENDESHA MAISHA EPIC STUDIO ZILIZOKO MIKOCHENI

Mad Ice ndani ya Studio za Epic maeneo ya Mikocheni. Muonekano wa Epic Studio kwa ndani. Mad Ice, Man Fred na Baraka wa kundi la The Core wakijadili jambo ndani ya studio.…

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Shoo ya Diamond Kwenye Born2Win Concert Nchini Uganda

Usiku wa jana msanii Diamond Platinum alitumbuiza kwenye tamsasha kubwa ‘Born 2 Win Concert’ jijIni Kampala, Uganda.
Mbali na Diamond msanii Patoranking naye alitumbuiza kwenye tamasha hilo.

Hizi ni baadhi ya picha za Diamond akitumbuiza kwenye tamasha hilo.

DIAMOND13

Diamond1341 DIAMOND134 DIAMOND288 DIAMOND186

 

 

10 years ago

GPL

MAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE

Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya klabu 100 ambazo hazipo kwenye ligi zaiandikia FA juu ya kuahirishwa kwa msimu

Zaidi ya klabu 100 ambazo hazipo kwenye ligi zatuma barua kwa FA, na kutoa wito wa kutaka ifikirie tena umauzi wake wa kuahirisha msimu

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond akacha shoo ya zari

hhjNasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

MUSA MATEJA

Habari ya mjini! Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amezua utata kwa mashabiki wake baada ya kukacha kuzama kwenye pati iliyokuwa imeandaliwa na mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.

Tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Guvnor jijini Kampala, Uganda ambapo wawili hao walikwenda pamoja kwa lengo la kushirikiana kwenye makamuzi ya shoo ya pati hiyo iliyokwenda kwa jina la Zari All White Ciroc Party.

12298790_913147808763757_2141814560_n

Wageni...

 

10 years ago

GPL

SHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA

Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akipozi katika picha na mashabiki baada ya shoo ya nguvu Dar Live. Diamond akiwa na tuzo pamoja na cheti baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Ijumaa Sexiest Bachelor.…

 

10 years ago

CloudsFM

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani