Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Madaktari wanaotoa mimba wanafunzi wafukuzwe kazi’

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kufukuzwa kazi kwa madaktari na wahudumu ya sekta ya afya katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma, wanaojihusisha na vitendo vya utoaji mimba kwa wanafunzi na hata watu wazima.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Madaktari wanaotoa mimba kukiona 

SERIKALI imesema itaendelea kuwachukulia hatua kali za kisheria na za kinidhamu madaktari watakaogundulika kujihusisha na utoaji wa mimba kinyume na utaratibu. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa...

 

10 years ago

Habarileo

Madaktari wanaotoa mimba kinyume na taratibu kukiona

Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tamisemi, Aggrey MwanriSERIKALI imesema itaendelea kuwachukulia hatua kali za kisheria na za kinidhamu madaktari wote watakaogundulika kujihusisha na utoaji wa mimba kinyume na utaratibu.

 

10 years ago

Bongo Movies

Irene Uwoya Alia na Wanaotoa Mimba

Staa mrembo kutoka Bongo Movies,amewaasa wanawake  kuacha kutoa mimba hata kama  watakumbana na mtatizo,kwani mtoto ndio kila kitu katika maisha.

Msanii huyu alitoa wito huo hivi juzi kati akiwataka  wajawazito wote waliokataliwa  na wapenzi wao kuonyesha kuwa  wao  ni wanawake majasiri  kwa kutothubutu kutoa mimba hizo.

‘Mtoto  ni zawadi  kutoka kwa  Mungu, siku ya leo  nawashauri wanawake  wanaokataliwa  mimba na wapenzi wao wasitoe wala kufanya  chochote muonyeshe kama wewe ni mwanamke...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rose Ndauka aonya wanaotoa mimba

MWANADADA anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini, Rose Ndauka, amewaonya wasanii wa kike kuacha tabia ya utoaji mimba kwani ni kinyume cha maadili na ni kujidhalilisha. Akizungumza jijini Dar...

 

9 years ago

GPL

WEMA NA FUNDISHO KWA WANAWAKE WANAOTOA MIMBA

Hamida Hassan Shauku ya wanawake wengi kuitwa mama ni kubwa sana, namaanisha kwamba kuwa na mtoto ni moja ya heshima ambayo wanawake wengi wanaililia, walio kwenye ndoa na hata wale walio nje ya ndoa.....Soma zaidi====>http://bit.ly/1EGHTkS

 

9 years ago

MillardAyo

Bomoabomoa Dar? Wanaotoa mimba? Nauli mwendokasi? Majipu ya Dk.Mwakyembe? (+Audio)

Magazeti ya January 6 2016 yako mtaani na hapa ninazo stori kubwakubwa zilizoguswa na uchambuzi wa Magazetini kwenye show ya Powerbreakfast Clouds FM… Waziri Mkuu Majaliwa awaonya madaktari wanaotoa mimba wasichana Ruvuma, atishia kuwachukulia hatua… Mahakama Kuu yazuia bomoabomoa kwenye nyumba 674 Dar, Naibu Waziri Kigwangalla aridhishwa na huduma katika hospitali ya Muhimbili. Wadau wakerwa bei ya […]

The post Bomoabomoa Dar? Wanaotoa mimba? Nauli mwendokasi? Majipu ya Dk.Mwakyembe?...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mimba za wanafunzi zamshtua JK

RAIS Jakaya Kikwete ameshtushwa na kiwango kikubwa cha wanafunzi katika Mkoa wa Ruvuma kushindwa kumaliza shule kwa sababu mbalimbali ukiwemo utoro na mimba. Utoro na mimba za wanafunzi ni mambo...

 

9 years ago

Habarileo

Wanafunzi wafundwa kuepuka mimba

WANAFUNZI wa shule za msingi na sekondari wilayani Namtumbo wametakiwa kujiepusha kushiriki katika vitendo vinavyoweza kukatisha ndoto zao kama vile mimba za utotoni na kupata virusi vya Ukimwi.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanafunzi wadungwa sindano kuzuia mimba


NA MWANDISHI WETU
WAKATI taifa likihaha kusaka tiba ya mimba za utotoni ili kuwezesha watoto wa kike kupata elimu, baadhi ya wauguzi wilayani Newala, Mtwara, wameibuka na mbinu mpya.
Wauguzi hao wanadaiwa kuwachoma sindano za uzazi wa mpango wanafunzi wa shule za msingi, kinyume cha utaratibu kwa lengo la kuwakinga na mimba zisizotarajiwa.
Hayo yamebainika kupitia taarifa ya Matokeo ya Ripoti ya Utafiti uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA). 
TAMWA iliendesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani