Wanafunzi wafundwa kuepuka mimba
WANAFUNZI wa shule za msingi na sekondari wilayani Namtumbo wametakiwa kujiepusha kushiriki katika vitendo vinavyoweza kukatisha ndoto zao kama vile mimba za utotoni na kupata virusi vya Ukimwi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Wanafunzi sekondari Agustivo Mbinga wafundwa
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Agustivo iliyopo wilayani Mbinga, Ruvuma, wametakiwa kuongeza juhudi katika masomo yao ili waweze kutimiza malengo waliyojiwekea. Ushauri huo ulitolewa na mfanyabiashara maarufu mkoani Ruvuma, Abbas...
11 years ago
Habarileo28 Jul
Wanafunzi vyuo vya Ualimu wafundwa
WANAFUNZI wa kike wa vyuo vya Ualimu nchini wametakiwa kuvaa mavazi nadhifu yanayoendana na maadili ya kazi yao ili jamii inayowazunguka ijifunze kutoka kwao kwani wao ni kioo cha jamii.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Mimba za wanafunzi zamshtua JK
RAIS Jakaya Kikwete ameshtushwa na kiwango kikubwa cha wanafunzi katika Mkoa wa Ruvuma kushindwa kumaliza shule kwa sababu mbalimbali ukiwemo utoro na mimba. Utoro na mimba za wanafunzi ni mambo...
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Sep
Wanafunzi wadungwa sindano kuzuia mimba
NA MWANDISHI WETU
WAKATI taifa likihaha kusaka tiba ya mimba za utotoni ili kuwezesha watoto wa kike kupata elimu, baadhi ya wauguzi wilayani Newala, Mtwara, wameibuka na mbinu mpya.
Wauguzi hao wanadaiwa kuwachoma sindano za uzazi wa mpango wanafunzi wa shule za msingi, kinyume cha utaratibu kwa lengo la kuwakinga na mimba zisizotarajiwa.
Hayo yamebainika kupitia taarifa ya Matokeo ya Ripoti ya Utafiti uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA).
TAMWA iliendesha...
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Mimba zawatoa wanafunzi shuleni Tanzania
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Mimba zakwaza ndoto za wanafunzi Newala
MIMBA za umri mdogo ambazo zimekuwa zikiwakatisha wanafunzi masomo Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara bado ni tatizo. Matukio ya mimba hizi kwa wanafunzi mbali ya kuwakatisha masomo yao, zimekuwa zikitishia...
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mimba shuleni zinavyowatesa wanafunzi Mkoa wa Rukwa
10 years ago
Habarileo23 Nov
Wanafunzi 24 waliopata mimba watakiwa kuripoti Polisi
MKUU wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani, Nurdin Babu ameagiza wanafunzi 24 wa shule mbalimbali za sekondari wilayani humo waliopata ujauzito kuripoti kituo cha polisi cha wilaya Novemba 25 mwaka huu ili watoe ushirikiano kukamatwa watu waliowatia mimba.
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Wanafunzi 150 Duce wapata mimba — Utafiti