Mimba zakwaza ndoto za wanafunzi Newala
MIMBA za umri mdogo ambazo zimekuwa zikiwakatisha wanafunzi masomo Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara bado ni tatizo. Matukio ya mimba hizi kwa wanafunzi mbali ya kuwakatisha masomo yao, zimekuwa zikitishia...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog15 Dec
Wanafunzi Newala wasema kumbagua mtoto wa kike kielimu ni ukatili
![Mwongozaji wa mjadala huo, Suzan Charles (mbele aliyesimama) kutoka Kituo cha Usuluhishi (CRC) kilichopo chini ya Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) akizungumza katika mjadala huo na wanafunzi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_01791.jpg)
Mwongozaji wa mjadala huo, Suzan Charles (mbele aliyesimama) kutoka Kituo cha Usuluhishi (CRC) kilichopo chini ya Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) akizungumza katika mjadala huo na wanafunzi.
Mwongozaji wa mjadala huo, Suzan Charles (mbele aliyesimama) kutoka Kituo cha Usuluhishi (CRC) kilichopo chini ya Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) akizungumza katika mjadala huo na wanafunzi.
![Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nachitulo akizungumza na mwandishi wa habari hizi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0152.jpg)
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nachitulo akizungumza na mwandishi wa habari hizi.
![Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Nachitulo walioshiriki katika mjadala wakiwa katika picha ya pamoja.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_02021.jpg)
Baadhi ya...
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Mimba za utotoni zinafifisha ndoto ya kupambana na umasikini
BAADA ya kutafakari kwa muda juu ya mchakato wa Katiba mpya ulivyokuwa ukiendeshwa, pamoja na mambo yote yaliyotokea lakini tunahitaji kuangalia suala la mfumo ambao unasababisha matatizo mengi ya kijamii...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Mimba za wanafunzi zamshtua JK
RAIS Jakaya Kikwete ameshtushwa na kiwango kikubwa cha wanafunzi katika Mkoa wa Ruvuma kushindwa kumaliza shule kwa sababu mbalimbali ukiwemo utoro na mimba. Utoro na mimba za wanafunzi ni mambo...
9 years ago
Habarileo21 Aug
Wanafunzi wafundwa kuepuka mimba
WANAFUNZI wa shule za msingi na sekondari wilayani Namtumbo wametakiwa kujiepusha kushiriki katika vitendo vinavyoweza kukatisha ndoto zao kama vile mimba za utotoni na kupata virusi vya Ukimwi.
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Sep
Wanafunzi wadungwa sindano kuzuia mimba
NA MWANDISHI WETU
WAKATI taifa likihaha kusaka tiba ya mimba za utotoni ili kuwezesha watoto wa kike kupata elimu, baadhi ya wauguzi wilayani Newala, Mtwara, wameibuka na mbinu mpya.
Wauguzi hao wanadaiwa kuwachoma sindano za uzazi wa mpango wanafunzi wa shule za msingi, kinyume cha utaratibu kwa lengo la kuwakinga na mimba zisizotarajiwa.
Hayo yamebainika kupitia taarifa ya Matokeo ya Ripoti ya Utafiti uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA).
TAMWA iliendesha...
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Mimba zawatoa wanafunzi shuleni Tanzania
10 years ago
Habarileo23 Nov
Wanafunzi 24 waliopata mimba watakiwa kuripoti Polisi
MKUU wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani, Nurdin Babu ameagiza wanafunzi 24 wa shule mbalimbali za sekondari wilayani humo waliopata ujauzito kuripoti kituo cha polisi cha wilaya Novemba 25 mwaka huu ili watoe ushirikiano kukamatwa watu waliowatia mimba.
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Wanafunzi 150 Duce wapata mimba — Utafiti
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mimba shuleni zinavyowatesa wanafunzi Mkoa wa Rukwa