Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADEGA: NILIMPITISHA OKWI ACHEZE SIMBA

Mwenyekiti wa zamani wa Yanga ambaye yupo kwenye Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Imani Madega Wilbert Molandi na Julieth Patrick MWENYEKITI wa zamani wa Yanga ambaye yupo kwenye Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Imani Madega, amefunguka juu ya kilichotokea kuhusu kesi ya Yanga na mchezaji Emmanuel Okwi. Madega ambaye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

YANGA WAHAHA OKWI ACHEZE KESHO

Mshambuliaji Emmanuel Okwi. Na Sweetbert Lukonge
ZIKIWA zimesalia saa kadhaa kabla ya kipute cha hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Komorozine ya Comoro, kitakachopigwa kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, uongozi wa Yanga umekuwa kwenye kasi kubwa kuhakikisha kiungo mshambuliaji wao, Emmanuel Okwi anacheza. Awali, Yanga ilitangaza kuwa itamtumia Okwi katika mechi hiyo licha ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Okwi awavuruga Simba

Mamia ya mashabiki wa Simba jana walikusanyika makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam wakitaka kujua ukweli kuhusu uhamisho wa Emmanuel Okwi kwenda Yanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi arejea Simba

Uongozi wa Simba umemrudisha kundini mshambuliaji wake wa zamani, Emmanuel Okwi ukisema umechukua hatua hiyo: “Kumsitiri ili asipoteze kipaji chake” baada ya watani wake wa jadi Yanga, kumshtaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

10 years ago

Vijimambo

Okwi kurejea Simba.

Mshambuliaji Emmanuel Okwi ambaye uhamisho wake daima umekuwa ukizungukwa na maswali kila aendako, ameingia katika utata mwingine baada ya ripoti mpya kudai kwamba alisaini mkataba wa miaka mitano wa kuichezea timu ya SønderjyskE licha ya timu hiyo ya Denmark kutotoa hata senti kwa klabu yake ya Simba.

Utata huo mpya umefuatia Wadenmark hao kutaka kumrejesha Okwi Simba kwa mkopo wa miezi sita baada ya kukwama kuipata leseni yake ya uhamisho ya kimataifa (ITC), ambayo Simba imesema haitaitoa...

 

10 years ago

GPL

Okwi rasmi Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope,akimtambulisha Emmanuel Okwi. Stori: Hans Mloli, Sweetbert Lukonge na Julieth Patrick
“WHAT goes around comes around!” hiyo ni kauli ambayo alianza kuitoa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope, jana jioni wakati akimtambulisha Emmanuel Okwi kuwa mchezaji wao mpya, ambapo ujumbe huo aliupeleka moja kwa moja kwa wapinzani wao wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba kumrudisha Okwi

Wakati Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) likisogeza muda wa usajili, Yanga inahaha kufanya uamuzi wa kuondoa mmoja kati ya wachezaji wawili Waganda, huku Simba ikikaribia kumalizana na beki kutoka Lipuli na kumrejesha Emmanuel Okwi.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Simba kumuuza Okwi

KUNA uwezekano mkubwa kwa Klabu ya Simba kumuuza tena mashambuliaji wake Emmanuel Okwi kama atafuzu majaribio yake anayotarajia kuanza kesho katika klabu ya Sonderjyske inayoshiriki kwenye Ligi ya Danish Superliga, Denmark.

Simba iliwahi kumuuza Okwi katika timu ya Etoile du Sahel ya Tunisia, lakini alikaa kwa miezi sita kabla ya kurejea timu ya Sports Club Villa ya Uganda ambao nao walimuuza klabu ya Yanga na mwisho kutua tena Simba.

Okwi atakuwa ni mchezaji wa pili kwenda kwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi aifufua Simba Taifa

>Hatimaye Simba imepata furaha baada ya jana kuibuka na ushindi wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu kwa kuichapa Ruvu Shooting Stars bao 1-0 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani