Madeni ya ATCL yabakia bil. 40/-
MIZANIA ya Madeni ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imepungua kutoka Sh bilioni 133 hadi Sh bilioni 40 hivi sasa, hatua inayotoa matumaini kwa shirika hilo kuingia kwenye ushindani karibuni.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Jan
Serikali yabeba madeni ya ATCL
SERIKALI imekubali kuchukua madeni yote ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) na kuyalipa, baada ya uhakiki ili kutoa fursa kwa shirika hilo kuanza biashara.
5 years ago
CCM BlogWAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI
Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma
WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...
10 years ago
Mwananchi29 Dec
ATCL kuburutwa mahakamani
10 years ago
TheCitizen19 Nov
Ministry: We want to bail out ATCL
11 years ago
Tanzania Daima22 May
ATCL kung’araa angani
SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL) lipo mbioni kuanza kung’ara hewani baada ya mwekezaji kutoka Oman kuwa tayari kuwekeza kwenye shirika hilo na sasa anasubiri serikali kukamilisha taratibu zake. Miongoni mwa...
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Ndege ‘mpya’ ATCL majanga
SIKU chache baada ya Shirika la Ndege Air Tanzania (ATCL), kujinadi kwamba limenunua ndege mpya aina ya CRJ 200, imebainika kwamba ndege hiyo ni chakavu na ni mzigo kwa taifa...
11 years ago
Mwananchi27 May
ATCL yatakiwa kujitanua zaidi
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
ATCL yapata ndege mpya
SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya CRJ-200 ya nchini Canada yenye uwezo wa kubeba abiria 50, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake wa...
11 years ago
Mwananchi04 Apr
ATCL yajivunia ongezeko la abiria