Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADEREVA WA DALADALA NA MAKODA MOROGORO WANAVYOJITAKIA FAINI KWA KIBURI, WAKICHUKULIWA HATUA WANAGOMA...

Picha na Habari, John Nditi, Morogoro   LICHA ya madereva wa daladala wa Manispaa ya Morogoro kusitisha mgomo uliodumu saa 10 siku ya Jumatano , Machi 19, mwaka huu na kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro , Faustine Shilogile, kusisitiza kuwa Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani wataendelea kuzikamata daladala zitakazovunja sheria , baadhi ya madereva na makonda wao wamekuwa ni vichwa sugu kwa ukiukwaji wa sheria hizo.   Dereva na konda wa daladala lenye namba za usajili T 870...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ATHARI YA MGOMO WA MUDA WA MADEREVA WA DALADALA MANISPAA YA MOROGORO LEO

Habari na picha na John Nditi, Morogoro Kuanzia aljafiri leo, madereva wa daladala wanaoendesha magari yao ya abiria katika njiaa mbalimbali za Manispaa ya Morogoro waligoma kutoka huduma hiyo kwa muda wa saa 10 wakishinikisha kutendewa haki ya Kikosi cha Usalama Barabarani.   Madereva hao kwa umoja wao Machi 18, mwaka huu walipomaliza kazi yao usiku , walikubaliana kutoamsha magari yao siku inayofuatia kutoa madai ya kuyanyaswa na Askari wa Kikosi cha usalama barabarani kwa kutozwa faini...

 

11 years ago

Mwananchi

Abiria watakiwa kukomesha kiburi daladala

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) Kanda ya Ziwa, imewataka abiria wanaotumia usafiri wa daladala mkoani hapa kuwaripoti madereva na makondakta wasiofuata sheria za usafirishaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva wa Daladala Moro wagoma kwa saa saba

Madereva wa daladala Manispaa ya Morogoro leo waligoma kwa saa saba kutoa huduma za usafirishaji abiria wakishinikiza kutatuliwa kwa changamoto zinazowakabili  sambamba na kuachiwa kwa wenzao wawili waliokamatwa kwa takribani siku sita zilizopita na kutopewa dhamana.

 

10 years ago

Michuzi

KAMA DAWA YA KIBURI NI JEURI BASI HII NI ZAIDI YA KIBURI

Baada ya kugundua kuwa ujenzi wa nyumba hii iliyopo Bomang'ombe mkoani Kilimanjaro umeingia kwenye kiwanja chake ,mmiliki wa eneo hilo aliamua kujenga ukuta kuzunguka kiwanja chake na alivyofika katika nyumba hii alipitisha ukuta wake mlangoni.

Ukuta ukapita sebuleni mwa nyumba hiyo na kutokea nyuma ya nyumba.Na Hii ndio waswahili wanasema dawa ya Kiburi Jeuri.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

 

11 years ago

Mwananchi

Madereva wa daladala za Tegeta wagoma

Madereva wa daladala zinazofanya safari kati ya Ubungo, Mwenge na Tegeta jana waligoma siku nzima wakitaka kufahamu stendi mbadala baada ya kufungwa ile ya Ubungo kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanachovuna madereva, makondakta wa daladala

Wakati jana Taifa lilishuhudia mgomo wa madereva wanaodai mambo mbalimbali ikiwamo mikataba ya ajira na mshahara wa Sh250,000 kwa mwezi na kupinga kwenda kwa mara nyingine katika shule ya udereva, imebainika kuwa wengi wao hasa wa daladala, huingiza kati ya Sh900,000 hadi Sh1,050,000 kwa mwezi.

 

11 years ago

Habarileo

Madereva daladala, abiria Dar walalamika

BAADHI ya abiria na madereva wa daladala katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam wamelalamikia kutowekwa vibao vya kuelekeza kufungwa kwa vituo vya mabasi vilivyokuwa vikitumika eneo la Ubungo baada ya kuhamishiwa kituo kipya cha mabasi cha Simu 2000.

 

10 years ago

GPL

MADEREVA WA DALADALA MISUNGWI WAZIBA BARABARA

Watu wanaodhaniwa kuwa ni madereva wakiwa wameziba barabara ya Mwanza-Dar. Madereva hao wakiendelea na mgomo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani