Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abiria watakiwa kukomesha kiburi daladala

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) Kanda ya Ziwa, imewataka abiria wanaotumia usafiri wa daladala mkoani hapa kuwaripoti madereva na makondakta wasiofuata sheria za usafirishaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MADEREVA WA DALADALA NA MAKODA MOROGORO WANAVYOJITAKIA FAINI KWA KIBURI, WAKICHUKULIWA HATUA WANAGOMA...

Picha na Habari, John Nditi, Morogoro   LICHA ya madereva wa daladala wa Manispaa ya Morogoro kusitisha mgomo uliodumu saa 10 siku ya Jumatano , Machi 19, mwaka huu na kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro , Faustine Shilogile, kusisitiza kuwa Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani wataendelea kuzikamata daladala zitakazovunja sheria , baadhi ya madereva na makonda wao wamekuwa ni vichwa sugu kwa ukiukwaji wa sheria hizo.   Dereva na konda wa daladala lenye namba za usajili T 870...

 

10 years ago

Michuzi

KAMA DAWA YA KIBURI NI JEURI BASI HII NI ZAIDI YA KIBURI

Baada ya kugundua kuwa ujenzi wa nyumba hii iliyopo Bomang'ombe mkoani Kilimanjaro umeingia kwenye kiwanja chake ,mmiliki wa eneo hilo aliamua kujenga ukuta kuzunguka kiwanja chake na alivyofika katika nyumba hii alipitisha ukuta wake mlangoni.

Ukuta ukapita sebuleni mwa nyumba hiyo na kutokea nyuma ya nyumba.Na Hii ndio waswahili wanasema dawa ya Kiburi Jeuri.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva daladala, abiria Dar walalamika

BAADHI ya abiria na madereva wa daladala katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam wamelalamikia kutowekwa vibao vya kuelekeza kufungwa kwa vituo vya mabasi vilivyokuwa vikitumika eneo la Ubungo baada ya kuhamishiwa kituo kipya cha mabasi cha Simu 2000.

 

10 years ago

Mwananchi

Daladala sasa zaruhusiwa kusafirisha abiria mikoani

Mamlaka ya Usafirishaji wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imeruhusu mabasi ya usafiri jijini Dar es Salaam, maarufu kama daladala, kufanya safari ndefu kwenda mikoa ya kaskazini kutokana na mahitaji makubwa ya huduma hiyo katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.

 

10 years ago

GPL

AJALI YA DALADALA YAUA ABIRIA MKWAJUNI, DAR

HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu  kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya daladala mbili aina ya Toyota Coaster kupata ajali eneo la Mkwajuni-Darajani jijini Dar es Salaam. Daladala hizo zinafanya safari yake kati ya Kawe - Kariakoo na nyingine kati ya Temeke - Makumbusho. Habari zaidi pamoja na picha za ajali hiyo zitawajia hivi punde. ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daladala ziendazo T/Hai Kinyerezi kero kwa abiria

KATIKA Jiji la Dar s Salaam, kero ya usafiri wa daladala kwa abiria hususani nyakati za asubuhi watu wanapokwenda katika shughuli zao za kujiingizia kipato na jioni wanaporudi majumbani imekuwa...

 

10 years ago

Michuzi

ABIRIA WANAPOAMUA KUPANDA DALADALA KUPITIA MLANGO WA DEREVA

Kamera ya Globu ya Jamii imewanasa abiria hawa wakipanda daladala kupitia Mlango wa Dereva kutokana na hali ya gombalia goli iliyikuwepo kwenye mlango wa kawaida wa abiria.

 

11 years ago

Michuzi

madereva wa daladala jijini Mbeya wagoma kusafirisha abiria leo

Wakazi wa Jiji la Mbeya leo wamejikuta wakiwa katika mazingira magumu baada ya mgomo wa mabasi madogo wa kutopakia abiria kutoka stendi kuu jijini humo,wakitaka wabadilishiwe ruti au kuongezewa nauli kwa sababu ya ruti hiyo inawapa mzungunguko mkubwa sana kulinganisha na nauli wanayoichaji kwa abiria hao.hali hiyo imepelekea abiria mbali mbali wa jiji hilo kupanga kwenye pikup na kulipa nauli ile ile wanayolipa kwenye daladala kama ionekanavyo katika picha mbali mbali zilizopigwa na Mpiga...

 

9 years ago

GPL

KISA UCHAGUZI...MADEREVA DALADALA DAR WALIA KUKOSA ABIRIA

Barabara ya Kawawa maeneo ya Kinondoni-Biafra hali ilivyoonekana, watu wachache barabarani. Watu wakionekana wachache tofauti na siku za kawaida. Hapa ni maeneo ya Kinondoni-Studio. Barabara ya Morogoro eneo la Magomeni-Mwembechai ikionekana kutokuwa na watu au…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani