Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADEREVA WAWILI WASHIKILIWA KWA VIFO MKOA WA PWANI


Na John Gagarini, Kibaha 
 JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia dereva Frank Chabayanga (39) mkazi wa Morogoro wa basi la kampuni ya BM kwa tuhuma za kumgonga mtembea kwa miguu na kusababisha kifo chake.   Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Ulrich Matei  (pichani) amesema kuwa tukio hilo limetokea Mei 20 mwaka huu majira ya saa 3:30 Usiku eneo la Kwa Mbonde wilayani Kibaha katika barabara kuu ya Dar es Salaam Morogoro.   Kamanda Matei...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI KWA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI

Na.Vero Ignatus,Arusha
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha linawashikilia Waandishi  wawili raia wa  nchi jirani ya Kenya kwa kosa la kuingia nchini bila kibali
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shana amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Clinton Isimbu( 22)kabila Mluya,mpiga picha wa Elimu Tv ya Kenya,mwingine ni Kaleria Shadrack(23)kabila mmeru ambaye pia ni mwandishi wa habari Elimu Tv ya nchini Kenya.
Kamanda Shana amesema watuhumiwa hao waliingia nchini kwa njia ya Panya,ambapo kwa Sasa wote...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE MKOA WA LINDI,AANZA MKOA WA PWANI KWA KISHINDO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkuranga jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake mkoa wa Lindi na baade ameendelea na kampeni zake ndani ya mkoa wa Pwani,ambapo anatarajia kujinadi maeneo mbalimbali ya mkoa Pwani katika kuwaomba ridhaa ya kuwaongoza wananchi katika awamu ya tano,katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyia Oktoba 25 mwaka huu.Mgombea Urais wa...

 

10 years ago

Habarileo

Madereva wawili mabasi ya masafa wanaswa kwa ulevi

Makao Makuu Kitengo cha elimu kwa umma Usalama Barabarani, Abel Swai MADEREVA wawili wa mabasi ya masafa marefu wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Singida baada ya kugundulika kutumia pombe wakati wakiwa kazini.

 

11 years ago

Michuzi

WATU WATANO (5) MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MADEREVA WAWILI WA BODABODA MKOANI DODOMA

Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu watano (5) kwa kuhusika na mauaji ya madereva wawili wa bodaboda kwa nyakati tofauti.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema watuhumiwa watatu ambao ni ALEX S/O LETEMA LEWENJE mweye umri wa miaka 20, Mkaguru, ANDREA S/O MAJUTO CHIGUNDULA mwenye umri wa miaka 24, Mkaguru na NABAKI S/O MAUNGO MWIGOE mwnye umri wa miaka 23, Mkaguru wote...

 

5 years ago

Michuzi

NDIKILO AWATOA HOFU WANANCHI PWANI KWA CORONA NA KUSEMA MKOA UPO SALAMA,WAJITAHADHARI



NA MWAMVUA MWINYI,PWANI 
MKOA wa Pwani, umepata washukiwa wanne wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu,(COVID- 19) ,ambao tayari wamechukuliwa sampuli na majibu yameonyesha hawana ugonjwa huo ,hivyo hadi sasa mkoa huo upo salama. 
Aidha serikali mkoani hapo ,imeiomba wizara ya afya kuona umuhimu wa kupeleka vifaa vinavyotumika kupima joto kwa wageni wanaoshuka katika kiwanja cha ndege cha Mafia ,ambacho kinapokea watalii na wageni kutoka nje ya nchi kama ilivyo uwanja wa ndege wa Mwl.Nyerere....

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,kufuatia vifo vya watu 11 katika ajali ya basi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mheshimiwa Paschal Mabiti,kuomboleza vifo vya watu 11 ambao wamepoteza maisha yao katika ajali ya basi iliyotokea mkoani humo Jumatatu, Aprili 21, 2014.
Katika salamu hizo, Rais Kikwete amesema kuwa ni jambo la kusikitisha  kuwa ajali zabarabarani zinaendelea kuchukua maisha ya watu wasiokuwa na hatia.
“Nimepokea kwa huzuni nyingi taarifa ya ajali hiyo ambayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili wafa vifo vya utata Dar

WATU wawili wamefariki Dar es Salaam katika matukio tofauti likiwemo la John Andrea (71) mkazi wa Maweni Temeke. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke  Englibert Kiondo alisema tukio hilo lilitokea...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LATOA ONYO KWA WAVURUGA AMANI PAMOJA NA MADEREVA WALEVI NA WASIOZINGATIA SHERIA

Na.Vero Ignatus,Arusha.
Jeshi la polisi mkoani Arusha limetoa onyo kwa watu wachache wanaopenda kuvuruga amani katika kipindi cha sikukuu na kuwataka waache mara moja kuwa na fikra hizo kwani watachukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza Kamanda wa polisi mkoani hapa Jonathan Shana amesema kuwa kwa upande wa madereva wa vyombo vya usafiri ni marufuku kuendesha vyombo hivyo wakiwa wamelewa ,mwendokasi pamoja na kujaza abiria kupita kiasi kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yaoAidha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani