Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani Dodoma walia na ukata wa maisha

Dodoma. Madiwani wa Manispaa ya Dodoma wamemuomba mkurugenzi wa manispaa hiyo kuwalipa fedha za malimbikizo ya posho zao kwa kuwa ni haki yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Nyota wa Simba walia ukata

Baada ya mazoezi ya wiki nzima visiwani Zanzibar kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Azam Jumamosi, kikosi cha Simba kinakabiliwa na mambo mengi yanayotakiwa kufanyiwa kazi ili timu ifanikiwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Timu Taifa Tenisi walia ukata

>Timu ya Taifa ya Tenisi kwa walemavu inayojiandaa na kusaka kufuzu kwa mashindano ya dunia tenisi inafanya maandalizi kwenye mazingira magumu baada ya kukosa fedha na udhamini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Nzega walia na wanasiasa

MADIWANI wa Halamashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, wametaka wanasiasa kutoingiza siasa kwenye miradi ya maendeleo. Baadhi ya madiwani waliyozungumza na Tanzania Daima mara baada ya kuwasilisha taarifa za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Hai walia kudharauliwa

BARAZA la Madiwani wilayani Hai, limeeleza kusikitishwa na kitendo cha baadhi ya watendaji kudharu baraza hilo kwa kutofanyia kazi maamuzi yanayopitishwa na baraza hilo. Akizungumza kwenye kikao cha kawaida cha...

 

11 years ago

Michuzi

SIKU YA SHERIA DUNIANI YAFANYIKA MKOANI DODOMA, WALIA NA UPUNGUFU WA MAJAJI

   Wakili  wa Serekali Mfawidhi mkoa wa Dodoma, Mhe Angaza Mwaipopo akifafanua jambo wakati wa sherehe ya siku ya sheria mjini Dodoma leo. Jaji Mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Dodoma, Mhe Crecensia Makuru akizangumza jambo mbele ya watendaji na wadau wa mahakama wakati sherehe za siku ya Sheria zilizofanyika leo.  Wakili wa kujitegemea Mhe Mary Munissi wa mkoani Dodoma akielezea jambo wakati wa maadhimisho ya siku ya sheria yaliyofanyika leo  Mahakimu, Mawakili na watendaji wengine...

 

11 years ago

Dewji Blog

SIKIKA yakanusha tuhuma za Madiwani, halmashauri Kondoa Dodoma

DSC_0148

Mwenyekiti wa Bodi Sikika, Bi. Pili Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la Kiserikali la Sikika mbele ya waandishi wa Habari jana Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri wilayani Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya hiyo kupitia barua yenye kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya tarehe 31/07/2014. Kwa mujibu wa barua hiyo, maamuzi hayo yalitolewa katika mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika 26 Julai, 2014...

 

9 years ago

Michuzi

RC DODOMA AZINDUA BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA KONGWA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma mhe. Chiku Gallawa (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na madiwani wapya wa Baraza la Halmashauri ya wilaya Kongwa wakati wa uzinduzi wa baraza hilo mapema wiki hii. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa baraza jipya la madiwani la hamashauri ya Wilaya Kongwa mapema wiki hii, Mhe. Gallawa alisisitiza kuongeza mapato ya halmashauri na kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Sehemu ya Watendaji na Madiwani wapya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani