Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani wa Zanzibar watoa pole kwa Jiji Dar

MADIWANI wa Manispaa ya Zanzibar, wametoa pole kwa uongozi wa Jiji la Dar es Salaam kutokana na mafuriko yaliyoikumba hivi karibuni na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 25. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi siku ya kwanza ya ziara yao ya siku nne, Meya wa Manispaa ya Zanzibar, Khatibu Abdurahaman Khatibu, alisema kilichotokea ni mipango ya Mungu na hata wao limewagusa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHADEMA WATOA POLE KWA WABUNGE MWANAMRISHO ABAMA NA JOSHUA NASSARI

Viongozi wa Chadema wakiwa katika Kikao cha dharura cha Kamati Kuu. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe ametuma salaamu za pole na kuwatakia uponaji wa haraka majeruhi wa ajali mbili zilizotokea maeneo tofauti leo, moja ikihusisha helkopta nyingine ikitokana na ajali ya basi. Chopa iliyokuwa imewabeba viongozi wa Chadema akiwemo Mbunge Nassari baada ya ajali. Katika salaamu hizo, Mwenyekiti Mbowe ametoa pole kwa Mbunge wa...

 

9 years ago

Vijimambo

NMB MOSHI WATOA POLE KWA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB katika matawi ya Nelson Mandela na Mawenzi wakiwasili katika hosptali ya rufaa ya KCMC .
Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Emanuel Kashusho akizungumza jambo na afisa habari wa hospitali ya rufaa ya KCMC Gabriel Chiseo.(Kulia).Afisa Uhusiano wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC akitoa maelezo kwa wafanyakazi wa Benki ya NMB,matawi ya Moshi mjini waliotembelea hosptalini hapo kutoa zawadi na kuwapa pole wagonjwa.Wafanyakazi wa NMB Moshi wakimsikiliza...

 

10 years ago

Vijimambo

KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR (ZLSC) WATOA ELIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA WANANCHI ZANZIBAR.

 Taswira mbalimbali za kituo cha huduma za sheria9ZLSC) kikitoa elimu ya katiba iliyopendekezwa kwa wananchi Zanzibar.


 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV NA WASHIRIKA WAO WATOA HUDUMA ZA KIMATIBABU NA MADAWA BURE KATIKA HOSPITALI YA MWANAYAMALA JIJI DAR

Mkurugenzi wa Taasisi ya kinamama wa Kiafika inayohusika na ugonjwa wa Saratani ya matiti Bi. Ify Nwabuku(kushoto) akizungumza na wakina mama (hawapo picha) wakati wa utoaji wa matibabu bure kwa wakina mama katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar. Kushoto ni Bi Asha Nyang'anyi ambaye ni mwanakamati wa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumiwa jumuiya ya Watanzania DMV.
 Wakina mama wakimsikiliza kwa makini Bi. Ify Nwabuku wakati akitoa maelezo juu ya upimaji wa Saratani kwa wakina mama...

 

11 years ago

Habarileo

Wama watoa pole za mafuriko

TAASISI ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) imetuma salamu za pole kwa wakuu wa wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam na wananchi wote, kutokana na athari za mvua zilizojitokea katika maeneo mbalimbali na kusababisha vifo.

 

11 years ago

Michuzi

MEMBE ,NAPE WATOA POLE MSIBANI MTAMA

Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 23 Said S. Mchora  mkazi wa Masasi,Majengo.Watu 8 wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014
Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA WATOA SALAAM ZA POLE NA RAMBIRAMBI MSIBA WA MUFTI MKUU SHEIKH SIMBA


CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) SALAAM ZA POLE NA RAMBIRAMBI MSIBA WA MUFTI MKUU SHEIKH SIMBA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa taarifa za msiba wa Mufti Mkuu wa Tanzania Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, Kiongozi Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kilichotokea asubuhi ya leo kwa maradhi ya sukari na shinikizo la moyo.
Akitoa salaam za pole na rambirambi kwa waumini wa madhehebu ya Kiislamu...

 

11 years ago

Habarileo

Mkurugenzi awaasa madiwani wa Jiji

MADIWANI na watendaji wa kata 12 za halmashauri ya jiji la Mwanza, wametakiwa kuweka takwimu katika taarifa zao za utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya kata kubaini ukubwa wa matatizo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Safisha jiji yawakera madiwani Arusha

BAADHI ya madiwani wa Jiji la Arusha, wameeleza kukerwa na zoezi la safisha safisha jiji hilo zilivyoendeshwa kwa misingi ya kukiuka haki za binadamu. Madiwani hao wametaka zoezi hilo lifanyike...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani