Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEMBE ,NAPE WATOA POLE MSIBANI MTAMA

Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 23 Said S. Mchora  mkazi wa Masasi,Majengo.Watu 8 wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014
Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Nape ajitosa kumrithi Membe Mtama.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Baadhi ya vigogo wa serikali, Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye na waliokuwa baadhi ya wabunge wa majimbo nchini, jana walijikuta wakipigana vikumbo katika ofisi za chama hicho kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania ubunge katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika nchini Oktoba 25, mwaka huu.

Hatua hiyo ilikuja baada ya Chama hicho kutangaza kuanza kutoa fomu hizo jana kwa wanachama wake...

 

11 years ago

Dewji Blog

Membe na Nape wahani misiba ya waliopatwa na ajali Mtama na kutembelea majeruhi

Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 23 Said S. Mchora  mkazi wa Masasi,Majengo.

Watu 8 wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014

Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa...

 

11 years ago

CloudsFM

MEMBE,NAPE WAHANI MISIBA YA WALIOPATWA NA AJALI MTAMA NA KUTEMBELEA MAJERUHI

Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 23 Said S. Mchora mkazi wa Masasi,Majengo. Watu 8 wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE AHIMIZA MSHIKAMANO MTAMA

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa akisalimiana na Mzee Masoud Ali Chitende Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mtama mara baada ya kuwasili kwenye kata ya Mtama ambapo alipata nafasi ya kuwasalimu wajumbe wa Halmashauri Kuu za Kata Mtama na Majengo, Mtama mkoani Lindi.Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mtama Mzee Said H. Maluma,kushoto ni Mwenyekiti wa CCM kata ya Majengo Mzee Omari Mataka.Baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Kata ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wacharukia ushindi wa Nape Mtama

Hali katika Jimbo la Mtama si shwari baada ya kundi la wananchi kufanya maandamano ya kukataa matokeo ya kura za maoni yaliyompa ushindi Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye huku wakimtaka mpinzani wake achukue uamuzi mgumu.

 

9 years ago

CCM Blog

NAPE ASHIRIKI USAFI JIMBONI KWAKE MTAMA

 Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akishiriki kufanya usafi jimboni kwake ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli inayowataka wananchi kushiriki usafi wa mazingira kwenye siku ya kilele cha kusheherekea uhuru wa Tanzania, Desemba 9.
 Wakazi wa jimbo la Mtama wakijitokeza kufanya usafi
 Wakazi wa jimbo la Mtama wakishiriki usafi
  Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda (mwenye fulana nyeusi) akishiriki usafi pamoja Mbunge...

 

9 years ago

Michuzi

NAPE AANZA KULIFANYIA KAZI JIMBO LA MTAMA

Mbunge mteule wa Jimbo la Mtama, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape akisaini mkataba wa kupata vifaa vya huduma za afya mbele ya Mwambata wa Siasa wa Ubalozi wa China nchini Tanzania Mis Song Rui katika ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China.

Mbunge Mteule wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye ameanza kazi ya kuwatumikia wakazi wa jimbo hilo baada ya kusaini mkataba maalum na Ubalozi wa China nchini wa kusaidia vifaa vya huduma ya Afya kwa jimbo la Mtama.

 Ikumbukwe katika kampeni...

 

9 years ago

Vijimambo

NAPE NNAUYE ASHINDA UBUNGE JIMBO LA MTAMA

Nape Nnauye
Katibu wa Itikadi na uenezi CCM Nape Nnauye ameshinda kiti cha Ubunge jimbo la Mtama, jimbo lililokua chini ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe.
Nape Nnauye ameweza kushinda kwa jumla ya kura 28,110, Methew mgombea wa CHADEMA amepata kura 13,918 na Mchinjika wa CUF amepata kura 10,547

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani