Wananchi wacharukia ushindi wa Nape Mtama
Hali katika Jimbo la Mtama si shwari baada ya kundi la wananchi kufanya maandamano ya kukataa matokeo ya kura za maoni yaliyompa ushindi Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye huku wakimtaka mpinzani wake achukue uamuzi mgumu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
MBUNGE WA JIMBO LA MTAMA NAPE NNAUYE ASHIRIKI KUFANYA USAFI NA WANANCHI JIMBONI KWAKE

Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda (mwenye fulana nyeusi) akishiriki usafi pamoja Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye na wakazi wa jimbo hilo ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli inayowataka wananchi kushiriki usafi wa mazingira kwenye siku ya kilele cha kusheherekea uhuru wa Tanzania, Desemba 9.

Usafi ukiendelea Mtama ambapo wananchi wamesafisha mitaro yote pamoja na maeneo ya sokoni.

Mbunge wa Jimbo la...
10 years ago
Vijimambo
NAPE AHIMIZA MSHIKAMANO MTAMA



10 years ago
Vijimambo16 Jul
Nape ajitosa kumrithi Membe Mtama.

Baadhi ya vigogo wa serikali, Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye na waliokuwa baadhi ya wabunge wa majimbo nchini, jana walijikuta wakipigana vikumbo katika ofisi za chama hicho kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania ubunge katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika nchini Oktoba 25, mwaka huu.
Hatua hiyo ilikuja baada ya Chama hicho kutangaza kuanza kutoa fomu hizo jana kwa wanachama wake...
11 years ago
Michuzi
MEMBE ,NAPE WATOA POLE MSIBANI MTAMA


Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa...
10 years ago
Vijimambo
9 years ago
Michuzi
NAPE AANZA KULIFANYIA KAZI JIMBO LA MTAMA

Mbunge Mteule wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye ameanza kazi ya kuwatumikia wakazi wa jimbo hilo baada ya kusaini mkataba maalum na Ubalozi wa China nchini wa kusaidia vifaa vya huduma ya Afya kwa jimbo la Mtama.
Ikumbukwe katika kampeni...
10 years ago
Michuzi
NAPE AWASHUKURU WAKAZI WA MAJENGO KATA YA MTAMA


ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM akiwasalimia viongozi mbali mbali wa CCM ngazi za kata na matawi waliojitokeza...
9 years ago
CCM Blog
NAPE ASHIRIKI USAFI JIMBONI KWAKE MTAMA




10 years ago
Vijimambo26 Oct
NAPE NNAUYE ASHINDA UBUNGE JIMBO LA MTAMA

Katibu wa Itikadi na uenezi CCM Nape Nnauye ameshinda kiti cha Ubunge jimbo la Mtama, jimbo lililokua chini ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe.
Nape Nnauye ameweza kushinda kwa jumla ya kura 28,110, Methew mgombea wa CHADEMA amepata kura 13,918 na Mchinjika wa CUF amepata kura 10,547
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania