NAPE AWASHUKURU WAKAZI WA MAJENGO KATA YA MTAMA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndio mgombea wa ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM akipokelewa kwa shangwe na wananchi wa kata ya Majengo wakati akiwasili kwenye eneo la mkutano wa kuwashukuru wananchi hao kwa kumpigia kura nyingi kwenye mchakato wa kura za maoni. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndio mgombea wa
ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM akiwasalimia viongozi mbali mbali wa CCM ngazi za kata na matawi waliojitokeza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboNAPE AWASHUKURU WANA CCM MTAMA AAHIDI KUTOWAANGUSHA
9 years ago
GPLNAPE ATOA SHUKRANI KWA WAKAZI WA MTAMA, AAHIDI KUTOWAANGUSHA
10 years ago
VijimamboNAPE AHIMIZA MSHIKAMANO MTAMA
10 years ago
Vijimambo16 Jul
Nape ajitosa kumrithi Membe Mtama.
Baadhi ya vigogo wa serikali, Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye na waliokuwa baadhi ya wabunge wa majimbo nchini, jana walijikuta wakipigana vikumbo katika ofisi za chama hicho kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania ubunge katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika nchini Oktoba 25, mwaka huu.
Hatua hiyo ilikuja baada ya Chama hicho kutangaza kuanza kutoa fomu hizo jana kwa wanachama wake...
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Wananchi wacharukia ushindi wa Nape Mtama
10 years ago
Vijimambo9 years ago
Vijimambo26 Oct
NAPE NNAUYE ASHINDA UBUNGE JIMBO LA MTAMA
Katibu wa Itikadi na uenezi CCM Nape Nnauye ameshinda kiti cha Ubunge jimbo la Mtama, jimbo lililokua chini ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe.
Nape Nnauye ameweza kushinda kwa jumla ya kura 28,110, Methew mgombea wa CHADEMA amepata kura 13,918 na Mchinjika wa CUF amepata kura 10,547
9 years ago
CCM BlogNAPE ASHIRIKI USAFI JIMBONI KWAKE MTAMA
Wakazi wa jimbo la Mtama wakijitokeza kufanya usafi
Wakazi wa jimbo la Mtama wakishiriki usafi
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda (mwenye fulana nyeusi) akishiriki usafi pamoja Mbunge...
9 years ago
MichuziNAPE AANZA KULIFANYIA KAZI JIMBO LA MTAMA
Mbunge Mteule wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye ameanza kazi ya kuwatumikia wakazi wa jimbo hilo baada ya kusaini mkataba maalum na Ubalozi wa China nchini wa kusaidia vifaa vya huduma ya Afya kwa jimbo la Mtama.
Ikumbukwe katika kampeni...