Madrid kunusurika kifungo Copa del Rey
MADRID, HISPANIA
RAIS wa klabu ya Real Madrid, Florentino Perez, amesema timu yake ipo salama na itaendelea kushiriki michuano ya Copa del Rey, japokuwa ilimtumia mchezaji ambaye alitakiwa kutumikia kadi za njano ambazo alipewa mwishoni mwa msimu uliopita.
Katika mchezo wa katikati ya wiki hii, Madrid walimtumia mchezaji wao, Denis Cheryshev, ambaye alikuwa na kadi tatu za njano katika mchezo wa mwisho msimu uliopita, hivyo alitakiwa asicheze katika mchezo wa Jumatano wiki hii, lakini Madrid...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Real Madrid ni mabingwa wa Copa del Rey
9 years ago
BBCSwahili05 Dec
Real Madrid waondolewa Copa del Rey
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Real Madrid kufungiwa kushiriki Copa del Rey
MADRID, HISPANIA
KLABU ya Real Madrid inawezekana ikafungiwa kushiriki Kombe la Copa del Rey baada ya kumtumia mchezaji wake, Denis Cheryshev, ambaye alikuwa anatakiwa kutumikia kadi tatu za njano ambazo alioneshwa msimu uliopita.
Katika mchezo huo wa juzi, Madrid walifanikiwa kushinda mabao 3-1 dhidi ya Cadiz, huku Cheryshev akipachika bao la kwanza kabla ya Isco kuongeza mabao mawili.
Rais wa klabu ya Cadiz, Manuel Vizcaino, amesisitiza kuwa lazima atoe taarifa kwa chama cha soka nchini...
9 years ago
BBCSwahili29 Dec
Real Madrid wapoteza rufaa Copa del Rey
5 years ago
Managing Madrid14 Feb
Odegaard scores game-winning goal in first leg of the Copa Del Rey semi-final
9 years ago
Bongo505 Dec
Real Madrid waondolewa mashindano ya ‘Copa Del Rey’ kwa kumchezesha mchezaji Denis Cheryshev

Klabu ya Real Madrid imeondolewa katika michuano ya Copa del Rey kwa kumchezesha mchezaji ambaye hakufaa kuchezeshwa wakati wa mechi yao dhidi ya Cadiz Jumatano.
Mchezaji huyo, Denis Cheryshev, ndiye aliye funga goli la kwanza katika mechi ya Real ilishinda 3-1.
Winga huyo wa Urusi alifaa kuwa akitumikia marufuku, aliyopewa alipokuwa Villarreal kwa mkopo.
Lakini yeye na klabu yake ya Real, wanasema hawakujuzwa hilo kabla ya mechi hiyo.
Klabu hiyo imesema itachukua “hatua ifaayo”...
11 years ago
Habarileo20 Oct
Anywa sumu baada ya kunusurika kubakwa
JESHI la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtoto mmoja (16) ambaye ni mkazi wa barabara ya 20 jiijini humo, kwa kosa la kunywa sumu kwa lengo la kutaka kujiua, baada ya kunusurika kubakwa na baba yake wa kambo.
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Siri ya Mizengo Pinda kunusurika yatajwa