Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAENDELEO YA UBUNIFU WA MJI WA SERIKALIYAJADILIWA



Ofisi ya Waziri Mkuu inaendelea na zoezi la kuratibu awamu ya pili ya uendelezaji wa mji wa serikali eneo la Mtumba, makao makuu ya nchi jijini Dodoma. Awamu hii ya pili inahusisha Ubunifu na ujenzi wa majengo makubwa ya Ofisi zitakazotumiwa na Wizara za serikali.

Akiongea, leo tarehe 20 Aprili, 2020, katika kikao cha Kamati ya Makatibu wakuu na Wataalamu wa michoro ya Ubunifu na usanifu , Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu, (Waziri Mkuu na Bunge), Tixon Nzunda, amefafanua kuwa awamu hii ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Sefue: Ubunifu kichocheo cha maendeleo




NA WILLIAM SHECHAMBO WATANZANIA wametakiwa kujijengea utamaduni wa kubuni mambo mbalimbali ya kimaendeleo kwa kutumia sayansi na teknolojia kwa kuwa hakuna maendeleo bila ubunifu. Balozi Ombeni SefueViongozi wa nchi wamekuwa wakionyesha njia katika ubunifu kwenye sekta zote tangu awamu ya kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere, mpaka sasa ambapo maendeleo yanazidi kuonekana wakati nchi ikielekea kwenye uchumi wa kati. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alitoa rai hiyo Dar es Salaam jana,...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MFUKO WA UBUNIFU NA MAENDELEO YA WATU (HDIF)

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AZINDUA MPANGO KABAMBE WA MJI MPYA WA KIGAMBONI

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akihutubia wananchi wa Kigamboni katika Uzinduzi wa Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni Katika Uwanja wa Tangamano - Mnadani Vijibweni. Wasanii wa kikundi cha Ngoma za kitamaduni wakiburudisha wakati wa Uzinduzi Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni.
Picha ya mji mpya wa Kigamboni utakavyokuwa.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKUTANA NA WADAU WA MJI MPYA WA KIGAMBONI DAR ES SALAAM

Waziri Tibaijuka akifunga majadiliano juu ya mradi huo. Waziri Tibaijuka akiwa ameshikana mikono na mbunge was Kigamboni Faustine Ndungulie na baadhi ya madiwani na viongozi wengine kuonyesha maridhiano namna mradi utakavyotekelezwa.Kaimu Mkurugenzi Msaidizi, Usanifu Miji na Uendelezaji Hellenic Mpetuta akitoa mada namna mji mpya utakavyopangiliwa katika mkutano huo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kivukoni Dar es Salaam leo.Baadhi ya wadau wakifuatilia mawasilisho ya mada mbalimbali juu ya...

 

10 years ago

CloudsFM

TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA

Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.

 

10 years ago

GPL

MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua mkutano wa wadau wa Maendeleo,maafisa wa…

 

10 years ago

Michuzi

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii chachu ya Maendeleo Wilaya ya korogwe

Afisa Uchumi Mwandamizi kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Bw.Yohana Ngao(wa kwanza kulia) akiskiliza maoni kutoka kikundi cha Nyota Alfajiri ambao wameanzisha mradi wa kutengeneza Matofali na kuuza Asali ambapo walichukua mkopo wa shilingi milioni mbili na kurudisha kiasi cha shilingi laki 732,000 wakiwa wamefata taratibu zote za kurudisha mkopo ndani ya mwezi mmoja.Wajumbe wa Kikosi kazi kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo wakiaangalia moja ya mradi wa...

 

9 years ago

Michuzi

UBUNIFU.......

Muhindi yupo kazini katika kusaka hela katika mitaa ya Jiji la Roma nchini Italy, niliipenda sana hii....maana mpaka ugundue kuwa kaweka chuma linalopita mkononi linalopita mgongoni hadi kufika kwenye makalio ambako kuna kitako alichokalia, tayari utakuwa umefurahi sana...utafikiri kweli anaelea elea juu, kumbe ni mbinu na ubunifu tuu za kumpatia riziki.....hapa kupiga picha nae lazima uangushe hela (Euro) hapo chini kwenye kibakuri kidogo kilichopo mbele yake, na kuna mtu pembeni yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani