UBUNIFU.......
![](http://1.bp.blogspot.com/-t95koCwuNNc/VmAxwmV63BI/AAAAAAAIKBg/PBUiTz04GbQ/s72-c/MUHINDI.6.jpg)
Muhindi yupo kazini katika kusaka hela katika mitaa ya Jiji la Roma nchini Italy, niliipenda sana hii....maana mpaka ugundue kuwa kaweka chuma linalopita mkononi linalopita mgongoni hadi kufika kwenye makalio ambako kuna kitako alichokalia, tayari utakuwa umefurahi sana...utafikiri kweli anaelea elea juu, kumbe ni mbinu na ubunifu tuu za kumpatia riziki.....hapa kupiga picha nae lazima uangushe hela (Euro) hapo chini kwenye kibakuri kidogo kilichopo mbele yake, na kuna mtu pembeni yake...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-JmHnpJyrlKE/VFwF5Ctf_1I/AAAAAAAADrc/NPDqnu995dA/s72-c/Car%2Bselling.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JM4IkEzkMKs/VkS3ArdFDBI/AAAAAAAIFk0/RS-hcoa-lBw/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-12%2Bat%2B6.56.30%2BPM.png)
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Zanzibar kufaidika na ubunifu wa Zantel
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zantel kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco), imezindua huduma mpya ya kununua umeme wa ‘Tukuza’ kupitia EzyPesa. Akizungumza wakati wa kuzindua huduma...
9 years ago
Press12 Oct
TECNO YAJA NA UBUNIFU ZAIDI
MAKAMPUNI yanayozalisha Simu nchini yameshauriwa kuhakikisha wanakuwa wabunifu katika kusanifu na kuzalisha simu bora ili kwenda sambamba na soko na mahitaji ya wateja.
Wito huo umetolewa na Meneja mauzo wa simu za Tecno, Fred Kadilana wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu aina ya Phantom 5 uliofanyika Dar es Salaam juzi.
Kadilana alisema soko la bidhaa zao linakuwa kwa kasi hususan barani Afrika hivyo wanafanya jitihada kuhakikisha wanakwenda sambamba na ukuaji wa teknolojia.
“Soko la...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oNtuEWj8hA8bbfZcz13vvl*76YmSGb6CMWpx-9ulYLt1HUWKrqbvCbEWDmCqKEX*J8DHkMOaa2qGELFxbBnWspU/jokate.jpg)
JOKATE AIBUKA NA UBUNIFU MPYA
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Chenge: Serikali imekosa ubunifu
10 years ago
Raia Mwema05 Aug
Michuano ya Kagame imekosa ubunifu
PAZIA la michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati Kagame Cup, lilifungwa mwishoni mwa wi
Mwandishi Wetu
10 years ago
Habarileo16 May
Uadilifu wahimizwa ubunifu wa majengo
MWENYEKITI wa Bodi ya Makandarasi (CRB), Dk Ambwene Mwakyusa ameitaka serikali kuangalia madeni ya wakandarasi kwa kazi walizofanya.
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Ubunifu wa huduma huimarisha biashara
UBUNIFU ni njia sahihi inayofanya biashara kukua lakini pia husaidia katika usalama na uhakika wa biashara husika. Katika ubunifu mfanyabiashara anapaswa kuwa na wazo la tofauti kulingana na biashara anayoifanya...