Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TECNO YAJA NA UBUNIFU ZAIDI

MAKAMPUNI yanayozalisha Simu nchini yameshauriwa kuhakikisha wanakuwa wabunifu katika kusanifu na kuzalisha simu bora ili kwenda sambamba na soko na mahitaji ya wateja. 

IMG 1

Wito huo umetolewa na Meneja mauzo wa simu za Tecno, Fred Kadilana wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu aina ya Phantom 5 uliofanyika Dar es Salaam juzi.

Kadilana alisema soko la bidhaa zao linakuwa kwa kasi hususan barani Afrika hivyo wanafanya jitihada kuhakikisha wanakwenda sambamba na ukuaji wa teknolojia.

“Soko la...





Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TECNO yaja kivingine, kuzindua simu mpya CAMON 15 kwa njia ya mtandao Tanzania

KAMPUNI ya simu za mkononi ya TECNO inatarajia kuandika historia Tanzania kwa kuzindua simu yake mpya ya CAMON15 Aprili 15 mwaka huu kwa kutumia mitandao ya kijamii yaani ‘Online Launch’.Akizungumzia kuhusu uzinduzi huo katika ofisi za TECNO jiijini Dar es Salaam leo afisa masoko wa TECNO mtandaoni, Salma Shafi amesema hii ni fursa kwa kampuni hiyo kuwasiliana na wateja wake na Watanzania wote kwa ujumla kupitia teknolojia ya intanteti.
“Hii sio tu nafasi nzuri kwa TECNO kuwasiliana na wateja...

 

9 years ago

Bongo5

Tecno Phantom 5 ni zaidi ya simu

Friday-2

Binafsi ni miongoni mwa wachache waliopata bahati ya kuitumia simu hii mpya kutoka TECNO iliyobatizwa jina la Phantom 5.

Friday-2

Maneno matupu hayavunji mfupa lakini chenye sifa yake kipeni. Kwa mwaka mzima wa 2015 nimeshuhudia matolea tofauti tofauti ya simu lakini nikajikuta nimedidimia kwenye dimbwi la raha baada ya kununua simu hii mpya.

Sijawahi kujutia tangu niikamate simu hii kwenye kiganja cha mkono wangu. Usishangae ndio ukweli wenyewe huo. Phantom 5 ina vitu vingi ambavyo vimekuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nisha ahimiza ubunifu zaidi

MUIGIZAJI wa filamu nchini, Salma Jabu ‘Nisha’, amewataka wasanii kuwa wabunifu katika uandaaji wa kazi zao ili kukuza soko. Rai hiyo imetokana na Nisha kueleza kuwa mwaka 2013 haukuwa mzuri...

 

10 years ago

Bongo5

Nisha kujitupa zaidi kwenye ubunifu wa mavazi

Muigizaji wa filamu, Salma Jabu aka Nisha amesema licha ya kufanya vizuri katika tasnia ya filamu anafungua kampuni yake ya mavazi itakayokuwa ikiwavalisha mastaa mbalimbali. Nisha ameiambia Bongo5 kuwa tayari ameshaanza kuwavalisha wanamitindo kama Hamisa Mobeto ili kuonesha uwezo wake. “Mitindo ni kitu ambacho nakipenda sana na ni ndoto yangu ya kwanza kabla sijawa muigizaji. […]

 

10 years ago

Bongo5

Tecno C8 sio simu, ni simu bora zaidi

Ikiwa inaendelea kuwajali wateja wake na kutambua umuhimu wa kuwapa kilicho bora zaidi, TECNO inakuletea simu mpya aina ya TECNO CAMON C8. TECNO C8 ni simu iliyotukuka ikiwa na programu mama ya Android 5.0 Lollipop, uwezo wa kuhifadhi vitu wa GB 16, kioo cha HD chenye inch 5.5, lakini haikuishia hapo. TECNO C8 ina flash […]

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yaja na Promosheni Mpya ya "shinda gari na Yatosha Zaidi"

Mkurugenzi wa kitengo cha Masoko wa Airtel Tanzania,Levi Nyakundi (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa Airtel Tanzania,Beatrice Singano Mallya (pili kulia) wakifunua moja wa Gari aina ya Toyota IST ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Promosheni mpya ya Yatosha Zaidi ambayo itawawezesha wateja wa Airtel wanaotumia huduma ya Airtel Yatosha kujishindia zawadi ya Gari kupitia droo maalim itakayokuwa ikichezeshwa kila siku kwa muda wa miezi miwili,wateja watakaojiunga na...

 

5 years ago

Michuzi

WATUMIAJI WA TECNO CAMON 15 WAFUNGUKA

IKIWA ni takriban mwezi mmoja umepita tangu kampuni ya simu za mkononi ya TECNO kuzindua simu yake mpya CAMON 15 kwa njia ya mtandao, watumiaji wengi wa simu hiyo wameeleza namna simu hiyo ya CAMON 15 ilivyo na utofauti na simu za makampuni mengine na matoleo yake yaliyopita.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika maduka ya TECNO kuhusu simu hiyo, watumiaji hao wamekiri kuwa CAMON 15 imekata kiu yao ya kile walichokuwa wanakihitaji siku zote kutokana na kuridhishwa na ufanisi wa mifumo...

 

5 years ago

Michuzi

TECNO Yawakumbuka Watoto Yatima


Tukiwa katika mwanzo wa muhula wa kwanza  wa masomo, kampuni ya simu za mkononi  ya TECNO, imetoa  msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Chanika Children Shelter kilichopo Chanika Jijini Dar es Salaam ili kuwawezesha kurudi mashuleni.Msaada huo ukiwemo wa ada kiasi cha Shilingi Milioni tatu, vifaa vya masomo, Chakula  na mahitaji mengine ya kila siku umetolewa mwishoni mwa wiki.
Akizungumza wakati wa kutoa msaada huo Afisa Uhusiano wa kampuni ya TECNO Eric Mkomoye alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani