Maendeleo yanawezekana wananchi wakiamua
Athari zinazojitokeza katika ucheleweshwaji wa miradi ya maendeleo ya huduma za kijamii imekuwa ni wimbo unaotumika kama mtaji wa kujiongezea umaarufu kwa wanasiasa nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-b7C-A6W7gvc/UwmwgwdZJtI/AAAAAAAFO0o/0oOZ4S1NkYU/s72-c/unnamed+(8).jpg)
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MUNGURI, KONDOA- DODOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-b7C-A6W7gvc/UwmwgwdZJtI/AAAAAAAFO0o/0oOZ4S1NkYU/s1600/unnamed+(8).jpg)
Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana akiwa katika ziara hii ya Kikazi alipata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, kondoa ambacho ni miongoni mwa vyuo 55 vinavyotoa mafunzo ya elimu ya...
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Wazazi wakiamua watoto watafanikiwa
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Mapinduzi ya Zanzibar na maendeleo ya wananchi
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa sarafu ya shilingi elfu hamsini (50,000), kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu, anasema...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
CHADEMA: Fedha za maendeleo haziwafikii wananchi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa fedha zinazoidhinishwa na Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shughuli za maendeleo ya wananchi...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Maji yanavyowavuruga wananchi, kuwapunguzia kasi ya maendeleo
9 years ago
StarTV22 Sep
Anne Kilango aahidi kuwaletea wananchi maendeleo
Wakati Watanzia wakikaribia kwenye uchaguzi mkuu kuwachagua Wabunge Madiwani pamoja na Rais Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika Jimbo la Same Mashariki Anne Kilango ameahidi kusimamia vyema ilani ya chama chake katika kuwaletea maendeleo wananchi hususani kwenye nyanja ya uchumi endapo atapata ridhaa kwa mara nyingine kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Kilango ameyasema hayo katika mkutano wake wa kampeni wa kuomba kura kwa wananchi uliofanyika kwenye Kata ya Gonja Maore wilayani...
9 years ago
StarTV15 Sep
Lowassa ahidi kuwaletea wananchi maendeleo akichaguliwa
Mgombea urais kwa tiketi ya vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Edwar Lowassa amesema iwapo atapata fursa ya kuchaguliwa kuwa rais wa Tanzania atahakikisha anawaletea wananchi maendeleo kwakutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.
Lowassa ametoa kauli hiyo wakati akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya stendi Wilayani Kahama na kusema kuwa anauhakika wa kuwafanya watanzania kutoka katika hali ya umaskini kwa kuwaletea maendeleo ya...
10 years ago
Habarileo04 Oct
Wananchi Kahama wapongezwa kwa miradi ya maendeleo
KIONGOZI wa mbio za Mwenge, Rachel Kassanda amewapongeza wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama kwa kuibua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye lengo la kupiga vita umasikini.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-h9_0drM6ywY/VfdK68ud9SI/AAAAAAAH41g/VyyX1mGN-TM/s72-c/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
JK azindua miradi ya Maendeleo mkoani kigoma, awaaga wananchi
![](http://3.bp.blogspot.com/-h9_0drM6ywY/VfdK68ud9SI/AAAAAAAH41g/VyyX1mGN-TM/s640/unnamed%2B%252812%2529.jpg)