Lowassa ahidi kuwaletea wananchi maendeleo akichaguliwa
Mgombea urais kwa tiketi ya vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Edwar Lowassa amesema iwapo atapata fursa ya kuchaguliwa kuwa rais wa Tanzania atahakikisha anawaletea wananchi maendeleo kwakutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.
Lowassa ametoa kauli hiyo wakati akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya stendi Wilayani Kahama na kusema kuwa anauhakika wa kuwafanya watanzania kutoka katika hali ya umaskini kwa kuwaletea maendeleo ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV22 Sep
Anne Kilango aahidi kuwaletea wananchi maendeleo
Wakati Watanzia wakikaribia kwenye uchaguzi mkuu kuwachagua Wabunge Madiwani pamoja na Rais Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika Jimbo la Same Mashariki Anne Kilango ameahidi kusimamia vyema ilani ya chama chake katika kuwaletea maendeleo wananchi hususani kwenye nyanja ya uchumi endapo atapata ridhaa kwa mara nyingine kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Kilango ameyasema hayo katika mkutano wake wa kampeni wa kuomba kura kwa wananchi uliofanyika kwenye Kata ya Gonja Maore wilayani...
10 years ago
MichuziWANANCHI WANATAKA USIMAMIZI WA FEDHA ZAO KATIKA KUWALETEA MAENDELEO YA KIUCHUMI -CAG
9 years ago
StarTV18 Sep
Ridhiwan Kikwete aahidi kuleta maendeleo akichaguliwa
Mgombea ubunge katika jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM Ridhiwan Kikwete amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja alichotumikia ubunge amefanikiwa kutatua kero mbalimbali za kijamii katika jimbo hilo
Amesema pamoja na jitihada aliyofanya kwa kipindi cha mwaka mmoja bado kuna changamoto ambazo zinahitaji kumalizwa hivyo amewaomba wananchi wa jimbo la Chalinze kumwamini kwa kumpa kura ili kutimiza lengo la kuwaletea maendeleo.
Riziwani ameyasema hayo wakati akizindua...
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Mbunge mteule wa Busanda ahidi kutatua kero za wananchi Geita
Msimamizi wa Uchaguzi, Ali Kidwaka akitangaza matokeo ya Ubunge jimbo la Busanda na Geita.
Mbunge mteule wa Busanda Bi Lolesia Bukwimba akiongea na Wanahabari mara baaada ya kutangazwa mshindi.
Diwani Mteule wa kata ya Lwamgasa jimbo la Busanda, Joseph Kaparatus akishangilia ushindi baada ya kutangazwa kuwa mshindi.
Na Alphonce Kabilondo, Geita
MBUNGE mteule wa jimbo la Busanda wilayani Geita (CCM), Bi. Lolesia Jeremia Bukwimba amesema kuwa atahakikisha ana shirikiana na wananchi wake...
9 years ago
StarTV31 Aug
CCM ya ahidi kutatua changamoto zinazo wakabili wananchi Dodoma
Chama cha Mapinduzi CCM kimesema endapo wakazi wa Mkoa wa Dodoma watakichagua Oktoba 25 mwaka huu kitatatua matatizo yao yanayo wakabili kwa muda kwani kinayatambua.
Tatizo kubwa lililotajwa kuathiri wakazi hao ni ukame ambao unasababisha kukosekana kwa maji kwa ajili ya matumizi mbalimbali pamoja na ukosefu wa masoko ya mazao ya biashara ikiwemo Zabibu.
Kauli hiyo imetolewa na mgombea mwenza wa chama cha Mapinduzi Bi Samia Suluhu wakatia alipohutubia wananchi mkoani Dodoma katika harakati...
9 years ago
VijimamboNAMELOK SOKOINE AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE MONDULI AHIDI KUENDELEZA ALIPOISHIA LOWASSA
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MUNGURI, KONDOA- DODOMA
Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana akiwa katika ziara hii ya Kikazi alipata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, kondoa ambacho ni miongoni mwa vyuo 55 vinavyotoa mafunzo ya elimu ya...
10 years ago
Mwananchi11 May
Lowassa: Tukimbizane na kasi ya maendeleo
10 years ago
Dewji Blog13 Oct
Mkalama washukuru serikali kwa kasi ya kuwaletea umeme
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Edward Ole Lenga.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Mkalama
SERIKALI wilaya mpya ya Mkalama mkoani Singida, imeishukuru serikali kuu kwa hatua yake ya kuipatia huduma ya nishati ya umeme kwa kipindi kifupi mno.
Shukrani hizo zimetolewa na mkuu wa wilaya hiyo, Edward Ole Lenga wakati akizungumza na Mwakilishi wa MOBlog, juu ya maendeleo ya usambazaji wa huduma hiyo ya umeme kupitia matokeo makubwa sasa (BRN)katika vijiji mbalimbali vya...