Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maji yanavyowavuruga wananchi, kuwapunguzia kasi ya maendeleo

Wahenga wanasema kuwa, ‘Maji ni uhai!’ Huku wengine wakitumia usemi wa Kiingereza: ‘No water no Life.’ Hii inamaanisha pasipo na maji hakuna uhai. Inapotokea watu kuishi eneo lenye ukosefu wa maji ni lazima watatumia mbinu zote kuhakikisha wanayatafuta na kuhifadhi nyumbani kwa matumizi ya kila siku.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo ya miradi

Kiongozi wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina Makilagi, akieleza jambo wakati alipowasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi tayari kukagua miradi ya maji.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Nassor Himid na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lindi Mathei Makwinya.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya miradi ya Maji iliyopo mkoani humo.

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA KATIKA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA UJENZI WA MAJI MKOA WA DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa ameongozana na wakandarasi wa miradi na maofisa kutoka Wizara ya maji. wakikagua ujazo wa maji Ruvu Darajani.????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla pamoja na wakandarasi wa miradi na maofisa kutoka Wizara ya maji. wakikagua wakiangalia kina cha maji kilipofikia.????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (wa pili kushoto) akiwa ameongozana na Meneja mradi wa Kampuni ya WABAG kutoka India. Pintu Dutta (watatu kulia) Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na...

 

5 years ago

StarTV

Wananchi waandamana kukosa maji baada ya mhudumu wa maji kukamatwa na DC

  Na, Ahmed Makongo, Bunda; WANANCHI wa kitongoji cha Mashine ya Maji katika kata ya Bunda stoo, mjini Bunda mkoani Mara, jana wamepiga yowe na kuanadamana kwa kukusanyika pamoja katika kituo cha Mashine ya kusukuma maji, iliyoko katika eneo la Migungani, mjini humo, kutokana na kituo hicho kufungwa na kusababisha kukosa huduma ya maji, kwa …

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAJI KUPITIA BRN IMEFIKISHA MAJI KWA WANANCHI M.4.2

IMG-20150203-WA0039Waziri wa maji profesa jumanne maghembe akielezea utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa BRN chini.....................................................
Waziri wa maji kupitia mpango wa BRN,kuanzia mwaka 2013 hadi sasa,imefanikiwa kuwafikishia maji wananchi milioni 4.3 wanaoishi maeneo ya mijini Aidha zaidi ya watu milioni 2 wanaoishi maeneo ya vijijini wamepatiwa huduma ya maji kupitia BRN.
Waziri wa maji profesa jumanne maghembe ameyasema hayo Februari 3, 2015 mjini Dodoma alipokuwa...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MUNGURI, KONDOA- DODOMA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana (wa tatu kulia) akipatiwa maelezo wakati akikagua utoaji wa mafunzo katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, Kondoa, akiwa ameambatana na Uongozi wa Wilaya ya Kondoa.
Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana akiwa katika ziara hii ya Kikazi alipata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, kondoa ambacho ni miongoni mwa vyuo 55 vinavyotoa mafunzo ya elimu ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Tukimbizane na kasi ya maendeleo

>Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amesema umefika wakati kwa Tanzania kukimbia kwa kasi ili kukabiliana na changamoto kubwa ya maendeleo ya sayansi duniani.

 

11 years ago

Habarileo

Ruvuma wamkuna Rais kasi ya maendeleo

RAIS alisema kuna kasi nzuri ya maendeleo katika mkoa wa Ruvuma na ameridhishwa na jitihada za halmashauri za miji, halmashauri za wilaya na manispaa.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaongeza kasi upatikanaji maji

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa Mongolandege, Martha Singano baada ya kuzindua mradi wa maji ya kisima katika mtaa huo Manispaa ya Ilala, ikiwa ni uzinduzi wa maadhimisho ya Wiki ya Maji. (Picha na Aron Msigwa, Maelezo).SERIKALI imekamilisha mipango ya kuvuta maji safi na salama kutoka Ziwa Victoria kwa ajili ya wakazi wa mjini ya Tabora, Nzega na Igunga katika Mkoa wa Tabora.

 

10 years ago

Habarileo

Kijiji cha Milenia chakoleza kasi ya maendeleo Uyui

WANANCHI wanaoishi katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Uyui mkoani Tabora wameanza kunufaika na Mradi wa Kijiji cha Milenia unaotekelezwa katika kijiji cha Mbola kilichoko wilayani humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani