Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafuriko ya CHADEMA yaibomoa CCM

HARAKATI za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) za kujiimarisha, jana zilizidi kupata nguvu mpya baada ya vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani kujiunga nacho....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU YA CCM,NDUGU KINANA YAIBOMOA NGOME YA CHADEMA WILAYANI LUSHOTO.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pongezi Ndugu Ismail Semkunde aliyekuwa Mwenyekiti wa Jimbo la Mlalo Chadema na kuamua kurejea CCM. Mzee Julius Kavurai aliyekuwa Katibu wa Jimbo la Mlalo Chadema akiwapungia mkono wananchi kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye yupo kwenye ziara wilayani Lushoto ya kujenga na kukiimarisha chama pamoja na kuangalia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010 inavyoendelea. Mzee Charles Kagonji...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

9 years ago

Michuzi

Mafuriko ya Mama Samia Suluhu Yawavuna Vigogo Chadema Dodoma

Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasili na kuwapungia mkono wananchi katika viwanja vya jangani.Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasili na kuwapungia mkono wananchi katika viwanja vya jangani.Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akipokea kadi kutoka kwa  aliyekuwa mgombea wa udiwani wa Chadema Kata ya Mlowa Barabarani baada ya kujiunga na chama hicho.Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akipokea kadi kutoka kwa aliyekuwa mgombea wa udiwani wa Chadema Kata ya Mlowa Barabarani baada ya kujiunga na chama hicho.Bi. Samia Suluhu kulia akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde jimboni humo.Bi. Samia Suluhu...

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema yatoa mabati 850 kwa waathirika mafuriko Kahama

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa msaada wa mabati 850 ikiwa ni ahadi iliyotolewa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, kusaidia waathirika wa mafuriko katika kijiji cha Mwakata wilayani Kahama.

Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa (pichani), alisema msaada huo una thamani ya Sh. milioni 12.

Dk. Slaa alifafanua kuwa kati ya kiasi hicho cha fedha zilizonunua mabati, Sh. milioni 10 ni sehemu ya ruzuku inayotolewa na...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA LOWASSA AWASILI DODOMA KUJINADI MAFURIKO YAENDELEA JITIRIRISHE

MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda Ukawa,Edward Lowassa amezidi pasua anga ndani ya nchi,Baada ya leo kutikisa ngome ya CCM mkoani Dodoma na kushuhudiwa na Maelfu ya wakazi wa Mkoa huo kama ambayo picha zinavyoonyesha. 


 

11 years ago

Michuzi

Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema

 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akikabdihi kadi ya CCM kwa  moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga...

 

9 years ago

Habarileo

CCM wapuuza ‘mafuriko’ Ukawa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza kuwa kitashinda Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwa sababu kina mtandao mkubwa wa wanachama kuanzia ngazi ya chini na kwamba kufurika kwa wananchi katika mikutano ya Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa sio ushindi, kikisema kura ni mahesabu.

 

9 years ago

Mtanzania

Nape: CCM itazuia mafuriko kwa kidole

napeNA SARAH MOSSI, LINDI

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema chama hicho kina uwezo wa kuzuia mafuriko hata kwa kidole, achilia mbali mikono.

Nape ambaye ni mgombea ubunge Jimbo la Mtama mkoani Lindi, alisema hayo jana katika mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Nyangao na kuhudhuriwa na mgombea mwenza  wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan.

Katika mkutano huo, Nape aliwabeza wanachama waliowania nafasi ya urais kupitia CCM na ubunge, kisha wakatemwa...

 

9 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI AHAMISHIA MAFURIKO YA KAMPENI ZA CCM MKOANI KATAVI

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi Wananchi wakishangilia wakati Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa  Azimio mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani