CCM wapuuza ‘mafuriko’ Ukawa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza kuwa kitashinda Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwa sababu kina mtandao mkubwa wa wanachama kuanzia ngazi ya chini na kwamba kufurika kwa wananchi katika mikutano ya Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa sio ushindi, kikisema kura ni mahesabu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 May
Waandamanaji wapuuza agizo Burundi
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Mbowe, Lukuvi wapuuza posho
KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema kuwa ushiriki wake katika kamati iliyoundwa kuweka msimamo kuhusu posho za wabunge umesaidia sana kuhakikisha msimamo wa chama chake unawasilishwa...
9 years ago
Habarileo04 Jan
Wapuuza kejeli uteuzi makatibu
WADAU wa masuala ya siasa nchini wameeleza kuridhishwa na uteuzi wa idadi kubwa ya makatibu wakuu huku wakisisitiza kwamba Rais John Magufuli apewe muda pamoja na Baraza lake la Mawaziri wafanye kazi hatimaye wapimwe kwa ufanisi wao na si kwa ukubwa au udogo wa baraza.
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Wanamgambo wapuuza amri ya Ukraine
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Mafuriko ya CHADEMA yaibomoa CCM
HARAKATI za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) za kujiimarisha, jana zilizidi kupata nguvu mpya baada ya vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani kujiunga nacho....
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Nape: CCM itazuia mafuriko kwa kidole
NA SARAH MOSSI, LINDI
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema chama hicho kina uwezo wa kuzuia mafuriko hata kwa kidole, achilia mbali mikono.
Nape ambaye ni mgombea ubunge Jimbo la Mtama mkoani Lindi, alisema hayo jana katika mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Nyangao na kuhudhuriwa na mgombea mwenza wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan.
Katika mkutano huo, Nape aliwabeza wanachama waliowania nafasi ya urais kupitia CCM na ubunge, kisha wakatemwa...
10 years ago
Vijimambo07 Mar
MAAFA YA MAFURIKO KAHAMA: DC, Mwenyekiti CCM watunishiana misuli
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/mgeja-march7-2015.jpg)
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja, jana alimkemea mbele ya waathirika wa mvua ya mawe na upepo, Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya, kwa kushindwa kuwajibika na kuwasababishia watu hao kukosa chakula.
Zaidi ya waathirika 250 waliopata hifadhi katika Shule ya Msingi Mwakata wilayani hapa, walishinda njaa licha ya chakula cha msaada kuwamo ndani ya darasa, lakini walishindwa kupewa...
9 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AHAMISHIA MAFURIKO YA KAMPENI ZA CCM MKOANI KATAVI
10 years ago
Vijimambo21 Jul
Nape asema CCM imezuia mafuriko kwa mikono.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Nape-21july2015.jpg)
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimejigamba kwamba kimeweza kuzuia ‘mafuriko’ kwa mikono huku kikiwatakia kila la kheri baadhi ya makada wake waliotangaza kutogombea kupitia chama hicho pamoja na wale waliokihama na wanaotaka kukihama.
Mwishoni mwa wiki iliyopita waliokuwa madiwani jimbo la Monduli kupitia CCM mkoani Arusha, walitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), huku wabunge wa viti maalum, Ester Bulaya na James Lembeli...