Mafuriko yaathiri kaya 4000 Pwani
Zaidi ya kaya 4,000 zenye wakazi 16,000 katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani zimeathiriwa na mafuriko baada ya nyumba na mazao yao kusombwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Mafuriko yaathiri kaya 40 mkoaniTanga
NA OSCAR ASSENGA, TANGA
KAYA 40 zenye watu zaidi ya 100 zimelazimika kuhama makazi yao na kuhifadhiwa kwa muda katika Shule ya Msingi Magaoni kutokana na mvua kubwa iliyosababisha mafurikiko jijini Tanga.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti, baadhi ya waathirika hao wameitupia lawama Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa kushindwa kuchimba mfereji wa kusafirishia maji ya mvua jambo linalochangia kutokea kwa mafuriko katika makazi yao.
Fatuma Hamisi alisema walishatoa taarifa kwa uongozi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bS_XTrq8F6E/XsVFoQHc0pI/AAAAAAALrAI/LCzO9gAIXOMbTGggQZu2zjocO_lEHk6AACLcBGAsYHQ/s72-c/dm.jpg)
DMF NA TIKA WATOA MSAADA WA FUTARI KWA KAYA 150 WILAYANI BAGAMOYO, PWANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-bS_XTrq8F6E/XsVFoQHc0pI/AAAAAAALrAI/LCzO9gAIXOMbTGggQZu2zjocO_lEHk6AACLcBGAsYHQ/s640/dm.jpg)
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Jk atembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Mkoa wa Pwani
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mmoja wa baadhi ya abiria waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko.
Rais akisalimiana na kuzungumza na wanafunzi na mtoto aliyemfuata na kumsalimia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete wakikagua athari za mafuriko maeneo ya Ruvu Darajani na Visiga.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja...
5 years ago
MichuziWANAWAKE TUGHE PWANI WATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI
Baadhi ya wananchi Wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani wamekosa makazi ya kuishi kutokana na nyumba zao pamoja na maduka kuzingirwa na maji ikiwemo wengine kukumbwa na changamoto ya mazao yao mbali mbali zaidi ya hekta 4000 kusombwa na maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha maafa hayo ambayo yamepelekea wananchi kuishi katika mazingira magumu hivyo kupelekea kuishi katika mazingira magumu.
Hayo yalibainishwa na wananchi hao wakati wa ziara ambayo...
9 years ago
MichuziNHIF YAJA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA KAYA KWA KAYA
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Kaya 19 zilizopo katika mpango wa kunusuru kaya maskini zakosa malipo yao Manyoni
Baadhi ya wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini wa Kijiji cha Sukamahela, tarafa ya Kilimatinde waliokosa malipo yao licha ya kuwa na taarifa na fomu za kupokelea malipo hayo, na kujikuta wakikaa kwa muda wa zaidi ya saa tano wakisubiri kuitwa wakapokee malipo hayo.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Stephen Chilewa Mgusi (wa kwanza kutoa kulia), Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Ernesti Gyunda Kitundu (wa pili kutoka kulia) na Mwezeshaji wa TASAF wilaya ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-U9xMl4ww11c/VLuReEr_QUI/AAAAAAAG-I0/OpQe2ESskuU/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-01-18%2Bat%2B1.53.39%2BPM.png)
11 years ago
Habarileo02 Apr
Pombe haramu yaathiri watoto
BIASHARA ya pombe haramu inayodaiwa kufanyika majumbani, inadaiwa kuwa chanzo cha watoto kukosa malezi mazuri na kuchangia uovu. Hayo yamesemwa na Ofisa Mtendaji wa Serikali Kata ya Arusha Chini wilayani Moshi Vijijini Mkoa wa Kilimanjaro, Koelly Shayo.