Pombe haramu yaathiri watoto
BIASHARA ya pombe haramu inayodaiwa kufanyika majumbani, inadaiwa kuwa chanzo cha watoto kukosa malezi mazuri na kuchangia uovu. Hayo yamesemwa na Ofisa Mtendaji wa Serikali Kata ya Arusha Chini wilayani Moshi Vijijini Mkoa wa Kilimanjaro, Koelly Shayo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Pombe yaathiri uchumi Rombo
11 years ago
BBCSwahili06 May
Pombe haramu yawaua zaidi ya 50 Kenya
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
Watu wawili mbaroni kwa kukutwa na pombe haramu ya Gongo lita 23
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
JESHI la Polisi mkoa wa Singida limefanikiwa kukamata watu wawili kwa tuhuma ya kumiliki lita 23 za pombe haramu ya gongo na mitambo sita ya kutengenezea pombe hiyo haramu.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela amesema Elitruda Omari (40) mkazi wa Karakana Singida mjini,amekamatwa akimiliki lita 15 za pombe haramu ya moshi na mitambo mitano ya kutengenezea pombe...
11 years ago
Habarileo08 Oct
Utafiti: Unywaji pombe umeongeza watoto mitaani
POMBE imebainika kuleta athari nyingi za kijamii na kiuchumi miongoni mwake ikitajwa kuchangia ongezeko la watoto wanaoishi mitaani na ukatili wa kijinsia.
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Wazazi wawapa pombe watoto ili wapate usingizi
5 years ago
Michuzi
KITUO CHA FARAJA SINGIDA CHACHU YA MAPAMBANO DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA ULANGUZI WA BINADAMU, WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Kituo cha kuendeleza Samaki Kanda ya Kati chatoa siku saba kwa wavuvi haramu kusalimisha zana haramu wanazotumia
Baadhi ya nyavu haramu zisizoruhusiwa kutumika kuvulia samaki kwenye bwawa la Kijiji cha Mwanzugi,wilayani Igunga.
Na. Jumbe Ismailly
[IGUNGA] Kituo cha kuendeleza samaki Kanda ya kati,chenye makao yake makuu wilayani Igunga,Mkoani Tabora kimetoa muda wa siku saba kuanzia sasa kwa watu wote wanaojishughulisha na uvuvi...
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
11 years ago
Habarileo13 Mar
Saratani ya uzazi yaathiri wengi
ASILIMIA 20 ya wanawake 2,000 waliofanyiwa uchunguzi wa saratani ya mlango ya uzazi, wamekutwa wakiwa na dalili za awali ambazo hutibika. Pia asilimia tatu ya wanawake 5,000 waliojitokeza kuchunguzwa saratani ya matiti, wamekutwa na dalili za awali. Hayo yalielezwa na Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari Wanawake (Mewata), Dk Serafina Mukua.