Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pombe haramu yawaua zaidi ya 50 Kenya

Watu zaidi ya hamsini wamefriki baada ya kunywa pombe haramu katika maeneo mbali mbali nchini Kenya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Pombe yenye sumu yawaua 76 Kenya

Watu wawili wamekamatwa nchini Kenya kuhusiana na mkasa wa watu zaidi ya 70 kufariki kutokana na kunywa pombe iliyokuwa imetiwa sumu.

 

11 years ago

Habarileo

Pombe haramu yaathiri watoto

BIASHARA ya pombe haramu inayodaiwa kufanyika majumbani, inadaiwa kuwa chanzo cha watoto kukosa malezi mazuri na kuchangia uovu. Hayo yamesemwa na Ofisa Mtendaji wa Serikali Kata ya Arusha Chini wilayani Moshi Vijijini Mkoa wa Kilimanjaro, Koelly Shayo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Majeshi ya Kenya yawaua Al Shaabab 15

Jeshi la Kenya limewauwa wapiganaji 15 wa Al shabaab katika makabiliano ya hivi punde zaidi Kusini mwa Somalia

 

11 years ago

Dewji Blog

Watu wawili mbaroni kwa kukutwa na pombe haramu ya Gongo lita 23

DSC0017911

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu, Singida

JESHI la Polisi mkoa wa Singida limefanikiwa kukamata watu wawili kwa tuhuma ya kumiliki lita 23 za pombe haramu ya gongo na mitambo sita ya kutengenezea pombe hiyo haramu.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela amesema Elitruda Omari (40) mkazi wa Karakana Singida mjini,amekamatwa akimiliki lita 15 za pombe haramu ya moshi na mitambo mitano ya kutengenezea pombe...

 

10 years ago

StarTV

Uvuvi haramu, Nyavu za zaidi ya sh. mil. 200 zakamatwa.

Na Mariam Emily,

Bukoba.

 

 

Idara za uvuvi za mikoa ya Kagera na Geita zimekamata zana haramu za uvuvi zenye thamani zaidi ya shilingi milioni mia mbili katika doria ya wiki mbili iliyofanyika kwenye visiwa na fukwe za mikoa hiyo inayopakana na ziwa Victoria.

 

Hata hivyo maafisa wa uvuvi wa mikoa hiyo wameshauri kuwepo na sheria kali inayolenga kuwaadhibu watu wanaoendelea kutumia zana zisizoruhusiwa ili kutokomeza uvuvi haramu.

 

Baadhi ya makokoro kati ya makokoro sabini na saba...

 

10 years ago

StarTV

Watu zaidi ya 50 wafa kwa kunywa pombe Msumbiji.

Serikali nchini Msumbiji imetangaza siku tatu za maombolezo nchi nzima baada ya zaidi ya Watu 50 kupoteza maisha baada ya kunywa kilevi kinachoelezwa kuwa na sumu.

Watu hao walikunywa kilevi hicho wakiwa msibani.

Watu wengine kadhaa waliokunywa kinywaji hicho siku ya jumamosi walikimbizwa hospitalini.

bad credit installment loans in missouri

Maafisa wanasema wanaamini kuwa kilevi hicho cha kienyeji kilichotengenezwa kwa mtama na mahindi kilikuwa na sumu ya nyongo ya mamba wakati...

 

11 years ago

Mwananchi

Utafiti: Pombe huchochea hamu, uwezo wa kula zaidi

>Taasisi ya kimataifa ya uwiano wa uzito na lishe ya Slimming World yenye makao yake makuu nchini Uingereza, imefanya uchunguzi kuhusu watu wanaokunywa pombe na kubaini kuwa inawaongezea kasi ya kula kupita kiasi ndani ya saa 24.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tanzania: Wahamiaji haramu raia wa Ethiopia warejeshwa kwao, wengine zaidi kurejeshwa

Kwa mujibu wa idara ya uhamiaji, kuna wahamiaji haramu 1300 kutoka Ethiopia wanaoshikiliwa katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ni haramu kutoa peremende badala ya chenji Kenya

Benki kuu ya Kenya CBK imetoa taarifa katika magazeti ya leo nchini humo ikiyataka maduka kusita kutoa vitu mbadala vya masalio ya sarafu ya taifa hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani