Mafuriko yaathiri kaya 40 mkoaniTanga
NA OSCAR ASSENGA, TANGA
KAYA 40 zenye watu zaidi ya 100 zimelazimika kuhama makazi yao na kuhifadhiwa kwa muda katika Shule ya Msingi Magaoni kutokana na mvua kubwa iliyosababisha mafurikiko jijini Tanga.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti, baadhi ya waathirika hao wameitupia lawama Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa kushindwa kuchimba mfereji wa kusafirishia maji ya mvua jambo linalochangia kutokea kwa mafuriko katika makazi yao.
Fatuma Hamisi alisema walishatoa taarifa kwa uongozi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 May
Mafuriko yaathiri kaya 4000 Pwani
9 years ago
MichuziNHIF YAJA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA KAYA KWA KAYA
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Kaya 19 zilizopo katika mpango wa kunusuru kaya maskini zakosa malipo yao Manyoni
Baadhi ya wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini wa Kijiji cha Sukamahela, tarafa ya Kilimatinde waliokosa malipo yao licha ya kuwa na taarifa na fomu za kupokelea malipo hayo, na kujikuta wakikaa kwa muda wa zaidi ya saa tano wakisubiri kuitwa wakapokee malipo hayo.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Stephen Chilewa Mgusi (wa kwanza kutoa kulia), Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Ernesti Gyunda Kitundu (wa pili kutoka kulia) na Mwezeshaji wa TASAF wilaya ya...
11 years ago
Habarileo02 Apr
Pombe haramu yaathiri watoto
BIASHARA ya pombe haramu inayodaiwa kufanyika majumbani, inadaiwa kuwa chanzo cha watoto kukosa malezi mazuri na kuchangia uovu. Hayo yamesemwa na Ofisa Mtendaji wa Serikali Kata ya Arusha Chini wilayani Moshi Vijijini Mkoa wa Kilimanjaro, Koelly Shayo.
11 years ago
Habarileo29 Mar
‘Migogoro yaathiri Afrika kiuchumi’
IKIWA migogoro inayojitokeza mara kwa mara itaachwa iendelee, kuna uwezekano mkubwa wa bara zima la Afrika kuathirika kiuchumi, imeelezwa. Kauli hiyo imetolewa na Mkufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), Profesa Eginald Mihanjo wakati akitoa mada katika mkutano wa vyama vyenye mrengo wa ujamaa, ulioanza jana jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Pombe yaathiri uchumi Rombo
11 years ago
Habarileo13 Mar
Saratani ya uzazi yaathiri wengi
ASILIMIA 20 ya wanawake 2,000 waliofanyiwa uchunguzi wa saratani ya mlango ya uzazi, wamekutwa wakiwa na dalili za awali ambazo hutibika. Pia asilimia tatu ya wanawake 5,000 waliojitokeza kuchunguzwa saratani ya matiti, wamekutwa na dalili za awali. Hayo yalielezwa na Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari Wanawake (Mewata), Dk Serafina Mukua.
10 years ago
BBCSwahili28 Mar
Matatizo ya kiufundi yaathiri uchaguzi
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Safisha Jiji yaathiri Hospitali ya Regency
MWENYEKITI wa Hospitali ya Regency, Dar es Salaam, Dk. Rajni Kanabar, amesikitishwa na kitendo cha wafanyakazi wa Manispaa ya Ilala kuharibu miundombinu ya umeme na internet katika tawi la hospitali...