Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magari 5 ya Serikali yayeyuka TanTrade

MAKUCHA ya Bunge, kupitia Kamati yake ya Hesabu za Serikali (PAC) imeendelea kufichua maovu katika idara za Serikali na Mashirika ya Umma, safari hii ikiwa zamu ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara nchini (TanTrade) iliyopewa saa 48 kuwaanika wahusika wa magari matano na pikipiki nane zilizoyeyuka katika mazingira ya kutatanisha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Magari ya serikali kudhibitiwa mafuta

SERIKALI imeanza kutekeleza mradi wa kufunga mfumo wa kielektroniki ili kudhibiti ujazaji wa mafuta katika magari na mitambo ya taasisi za umma. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...

 

10 years ago

Mtanzania

Kura ya maoni yayeyuka

NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

HATIMAYE Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesitisha kwa muda usiojulikana upigaji kura ya maoni kwa Katiba Inayopendekezwa uliokuwa umepangwa kufanyika Aprili 30.

NEC imesema imefikia uamuzi kutokana na kushindwa kukamilisha kwa wakati uliopangwa uboreshaji daftari la kudumu la wapigakura.

Kutokana na hatua hiyo, sasa Katiba hiyo itapigiwa kura baada ya kukamilika uandikishaji katika daftari la kudumu la wapigakura kwa mfumo wa kielektroniki (BVR) Julai,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali iache kununua magari ya kifahari’

SERIKALI imeshauriwa kuacha kununua magari ya kifahari, badala yake fedha hizo zielekezwe katika kununua magari na kujenga majengo kwa ajili ya Jeshi la Polisi. Akiuliza swali bungeni jana, Mbunge wa...

 

10 years ago

GPL

NDOA YA FEZA KESSY YAYEYUKA

Stori: Laurent Samatta
Habari mbaya! Mpenzi msomaji tunasikitika kukujuza kwamba ile ndoa iliyosubiriwa kwa hamu kubwa imeyeyuka baada ya uchumba wa staa wa Bongo Fleva aliyeiwakilisha Bongo kwenye Shindano la Big Brother Africa 2013 ‘The Chase’, Feza Kessy na jamaa kutoka Botswana, Oneal umeanguka chali. Staa wa Bongo Fleva aliyeiwakilisha Bongo kwenye Shindano la Big Brother Africa 2013 ‘The Chase’,...

 

10 years ago

Habarileo

Kambi Twiga Stars Zanzibar yayeyuka

KAMBI ya timu ya soka ya Taifa ya wanawake Twiga Stars iliyokuwa iwekwe Zanzibar tangu jana, imeyeyuka.

 

10 years ago

GPL

MAWAZIRI WAAGIZWA KUREJESHA IKULU MAGARI YA SERIKALI LEO

Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue. Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue, amewaagiza  Mawaziri na Naibu Mawaziri leo kurudisha magari ya serikali baada ya Rais Mteule, Dk. John Magufuli kuapishwa kwa kuwa ndiyo siku yao ya ukomo wa uongozi. Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu, Balozi Sefue alisema baada ya Bendera ya Rais kuteremshwa na kabla Bendera ya Rais mpya kupandishwa, magari ya mawaziri na Naibu Mawaziri,...

 

10 years ago

Vijimambo

NDOTO YA WEMA SEPETU KUWA MBUNGE YAYEYUKA

Haikuwa bahati yake. Safari ya Wema Sepetu kuelekea bungeni imefikia tamati.
Hiyo ni baada ya kushindwa kuwashawishi wanachama wa CCM mkoani mkoani Singida kumpa dhamana ya kuwawakilisha kwenye viti maalum vya ubunge.Wema ameshindwa kupita kwenye kura za maoni za ubunge huo kwa kupata kura 90 tu. Aliyeongoza kwenye kinyang’anyiro hicho ni Aysharose Mattembe (311), Martha Mlata (235) na Diana Chilolo (182).Wema amekubali kushindwa na kudai kuwa ushiriki wake umempa ujasiri zaidi.“Nilivyoamua...

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAKABIDHIWA MAGARI 20 NA PIKIPIKI 40 KUTOKA SERIKALI YA SAUD ARABIA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mathias Chikawe, (katikati) Mwakilishi wa Balozi wa Saud Arabia, pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu, wakitiliana sahihi moja kati ya Hati za makabidhiano ya magari 20 aina ya Toyota Land Cruiser pamoja na pikipiki 40 vilivyotolewa na serikali ya Saud Arabia, vitendeakazi ambavyo vitasaidia katika kuongeza kasi na ufanisi katika kupambana na matukio ya uhalifu na wahalifu.(picha na Demetrius Njimbwi wa Jeshi la Polisi ).

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA KENYA YAKUBALI KUYARUHUSU MAGARI YA ABIRIA NA WATALII KUTOKA TANZANIA.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema serikali ya Kenya imekubali kuyaruhusu magari ya abiria na watalii kutoka Tanzania, kuingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi.
Awali, Serikali ya Kenya iliyazuia magari hayo kuingia uwanjani hapo huku ukiyatoza ushuru kwa yale yanayoingia, jambo ambalo lililalamikiwa na wafanyabiashara wa Tanzania.
Marufuku hiyo ya Kenya kwa magari ya Tanzania, ilidumu kwa zaidi ya wiki mbili, ambapo katika kusaka suluhu hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani