Magari yanayozidisha uzito yanapogeuzwa mradi wa barabara
Kumekuwa na tuhuma kwamba usafirishaji wa mizigo na abiria kwa njia ya Reli ya Kati na Tazara umekuwa ukihujumiwa kwa makusudi ili wamiliki binafsi wa malori na mabasi wachume fedha kwa kufanya biashara hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0ie-ZBxmoTU/UyVGI4PJ8bI/AAAAAAAFT64/P183qmV7Zoo/s72-c/IMG_2832.jpg)
Mkandarasi wa mradi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka aruhusu maeneo ya kugeuzia magari
![](http://2.bp.blogspot.com/-0ie-ZBxmoTU/UyVGI4PJ8bI/AAAAAAAFT64/P183qmV7Zoo/s1600/IMG_2832.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-w6nAHTyS_AE/UyVGJEonX2I/AAAAAAAFT68/jznXnprzgGs/s1600/IMG_2834.jpg)
KAMPUNI ya ujenzi wa barabara ya STRABAG inayoendelea na ujenzi kwa ajili ya mradi wa mabasi yaendayo haraka umeruhusu upande mmoja wa barabara uliokamilika kutumika ili kupunguza foleni ya magari yanayoka Kimara kuelekea katikati ya jiji au sehemu nyingine kupitia barabara ya Morogoro.
Mhandisi wa Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART),Mhandisi John Shauri aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8s3Z19bYb4/U-j4eOULqAI/AAAAAAAF-kE/3LRKICF4rPw/s72-c/unnamed+(41).jpg)
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8s3Z19bYb4/U-j4eOULqAI/AAAAAAAF-kE/3LRKICF4rPw/s1600/unnamed+(41).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-8fuh6Rix_QE/U-j4eA1NJhI/AAAAAAAF-kA/noaS8n4dTZc/s1600/unnamed+(42).jpg)
10 years ago
Dewji Blog30 Jan
Barabara kwenda Ololosokwan tishio kwa magari makubwa
Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawa Lali (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues aliyemtembelea ofisini kwake wakati wa ziara ya kikazi ya siku nne kwenye kijiji cha Ololosokwani na halmashauri ya Ngorongoro kwa ajili ya maandalizi ya mradi wa kijiji cha digitali unaoendeshwa na Unesco kwa kushirikiana na Ki-elektronic ya Samsung unaotarajiwa kuwasili kijijini hapo mwezi...
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/_YBfa_4vSu0/default.jpg)
VIDEO: MUONEKAANO WA JIONI MAGARI YAKIPITA BARABARA YA JUU UBUNGO
![](https://millardayo.com/wp-content/uploads/2020/06/Screen-Shot-2020-06-02-at-11.21.09-PM-660x400.png)
11 years ago
GPLUJENZI BARABARA YA KAWAWA KWA MAGARI YAENDAYO KASI DAR
11 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA MAGARI YAENDAYO KASI WAGOMA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-JIYs43_D7QM/UvKC1HRnD8I/AAAAAAAFLDA/YdukefPihjk/s72-c/Picha+3.jpg)
BARABARA ZAIDI ZA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KUENDELEA KUJENGWA JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-JIYs43_D7QM/UvKC1HRnD8I/AAAAAAAFLDA/YdukefPihjk/s1600/Picha+3.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-1mV78BByC4M/VQJPG9L61MI/AAAAAAADb7w/ZjKr2j1V_-I/s72-c/IMG-20150312-WA0008.jpg)
Watanzania wa UK wagomea mradi mchafu wa kukaguliwa magari yao na kampuni binafsi.
![](http://3.bp.blogspot.com/-1mV78BByC4M/VQJPG9L61MI/AAAAAAADb7w/ZjKr2j1V_-I/s1600/IMG-20150312-WA0008.jpg)
Mwanzo wa yote nataraji kuwa wote mko salama na mnaendelea vyema na uchapaji kazi kama kawaida.
Rejea kichwa cha habari hapo juu,tunaomba mtu peperushie hii habari ili wahusika wajue kitu wanachokifanya sio sawa na wasijaribu kutuburuza bila kutumia busara na kufuata sheria.
Ukitazama kwenye attachment utaona tangazo la TBS ambalo wanatangaza kuanzia tarehe 16/03/2015.Kuna kampuni binafsi inayomilikiwa na watanzania hapa Uk,ambao wanasemekana wameshinda...