Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magoba ajiunga chama cha tatu kusaka ubunge

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni 2000/05 kupitia CUF, Frank Magoba na baadaye kurudi CCM, amehama tena na kutua ACT-Wazalendo, ambako ameteuliwa kuwania ubunge wa Jimbo la Rungwe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

EXCLUSIVE: Zitto ajiunga rasmi na Chama cha ACT-Tanzania, akabidhiwa kadi namba 007194

_MG_7774

Mh. Zitto Kabwe akilipa kwa ajili ya usajili wa kadi ya uanachama wa ACT.

...Kumwaga ‘mboga’ mbele ya wandishi wa Habari Jumapili hii Machi 22

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Hayawi hayawi…Sasa yamekuwa licha ya kusemwa sana kwa muda mrefu juu ya kuhusishwa na chama kipya cha siasa cha ACT-Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe sasa yamekuwa kweli kwa Mbunge huyo baada ya leo Jumamosi ya Machi 21, kupokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake...

 

10 years ago

Michuzi

Hayawi hayawi… Sasa yamekuwa.... Zitto Kabwe ajiunga rasmi na chama cha ACT



 Licha ya kusemwa sana kwa muda mrefu juu ya kuhusishwa na chama kipya cha siasa cha ACT-Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe (pichani juu akisaini kitabu baada ya kupewa kadi) sasa yamekuwa kweli kwa Mbunge huyo baada ya jana  Jumamosi ya Machi 21, kupokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake yenye namba 007194.
Hili limetokea  siku moja tu baada ya Zitto kutangaza kuachia ubunge na kuandika barua rasmi ambapo sasa amekuwa mwanachama wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano mkuu wa tatu wa Chama cha waandishi wa habari za uchaguzi wafanyika

Wajumbe wa mkutano mkuu wa tatu wa IPC wa uchaguzi wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka wanachama waliotangulia mbele ya haki ambao ni aliyekuwa mwenyekti Daudi Mwangosi, Mweka Hazina Vick Macha na mjumbe wa kamati tendaji Mzee Fulgence Malangalila uliyofanyika Ukumbi wa Lutheran Center mjini Iringa. Wajumbe wa mkutano wa tatu wa IPC wakifuatilia mkutano. Mwenyekiti wa IPC, Frank Leonard akifungua mkutano mkuu wa tatu leo katika Ukumbi wa Lutheran Centre mjini Iringa. Kushoto ni...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU WA TATU WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI IRINGA (IPC) WA UCHAGUZI

Wajumbe wa mkutano mkuu wa tatu wa IPC wa uchaguzi wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka wanachama waliotangulia mbele ya haki ambao ni aliyekuwa mwenyekti Daudi Mwangosi, Mweka Hazina Vick Macha na mjumbe wa kamati tendaji Mzee Fulgence Malangalila uliyofanyika Ukumbi wa Lutheran Center mjini Iringa.Mwenyekiti wa IPC, Frank Leonard akifungua mkutano mkuu wa tatu leo katika Ukumbi wa Lutheran Centre mjini Iringa. Kushoto ni Mweka Hazina Msaidizi Janeth Matondo na Katibu Ktendaji Francis...

 

11 years ago

Michuzi

Times Fm yachangia chama cha Albino wilaya ya Temeke shilingi milioni tatu

100.5 Times Fm Radio imetoa kiasi cha shilingi milioni tatu kwa albino wa wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kama sehemu ya mchango wao kwa jamii hiyo yenye ulemavu wa ngozi inayokumbwa na changamoto nyingi.
Katibu wa Kampuni ya Times Fm Radio, Amani Joachim ameukabidhi uongozi wa chama hicho hundi halisi akiwa ameambatana na Aluta Warioba (Meneja Vipindi Msaidizi) na Mzee Chapuo kutoka katika idara ya ubunifu.
Amani Joachim aliwaomba wapokee kiasi hicho kwa kuwa bado Times Fm...

 

11 years ago

Mwananchi

Molloimet: Kukataa serikali tatu, CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

Agosti 5 mwaka huu, wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanatarajiwa kuanza kukutana tena mjini Dodoma kujadili rasimu ya mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

GPL

CHAMA CHA TLP KIMEMPENDEKEZA MREMA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Mh.Augustine Mrema Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), imempendekeza Augustine Mrema ambae pia ni mwenyekiti wa chama hicho kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Vunjo. Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho Nancy Mrikaria, akiongea jana na gazeti la mwananchi alisema kuwa kamati hiyo pia imemthibitisha Mrema kuendelea na nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine. Alisema kamati...

 

9 years ago

Dewji Blog

Chama cha ACT WAZALENDO chazindua kampeni zake za Ubunge jimbo la Manyoni

SAM_0108baadhi ya wagombea ubunge wa chama cha ACT Wazalendo waliohudhuria mkutano wa uzinduzi katika jimbo la Manyoni-Singida.

Na, Jumbe Ismailly, Manyoni       

CHAMA Cha ACT Wazalendo wilaya ya Manyoni Mkoani Singida kimezindua kampeni za ubunge wa jimbo la Manyoni mashariki kwa kumnadi mgombea ubunge wa jimbo hilo,Muttee John Henry na kuwatisha watendaji wa idara ya afya wanaouza madawa kwenye vituo vya kutolea huduma na hivyo kusababisha wananchi kukosa huduma katika vituo vya kutolea huduma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani