Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI ATINGA MKOANI GEITA

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji mdogo wa Katoro kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Mnadani, mkoani Geita. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakiwapungia mkono maelfu ya wakazi wa mji mdogo wa Katoro kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa anataka kuijenga Tanzania mpya ya Viwanda, pia katika serikali yake itaongeza maeneo ya wachimbaji wadogo na kuwawezesha ili waweze kuchimba vizuri.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI ATINGA MKOANI NJOMBE LEO

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia katika mkutano wa hadhara wa kampeni kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini NjombeMakamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Philip Mangula akihutubia kwa kumnadi Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli  katika mkutano wa hadhara wa kampeni kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akimtambulisha Naibu Waziri wa Ujenzi, ambaye anagombea ubunge Jimbo la Njombe...

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI GEITA LEO

Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Wanaccm na Wananchi wa Mkoa wa Geita, Wakati aliposimama kuwasalimia akitokea jijini Mwanza kuelekea Kijijini kwake Chato. Hapa ni Kivukoni Busisi Mkoani hapo, mapema asubuhi ya leo.Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya Wanaccm na Wananchi wa Mkoa wa Geita, mara baada ya kuwasili mapema leo asubuhi.Msafara wa Mgombea Urais alieteuliwa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AMALIZANA NA KAMPENI ZAKE KAGERA,KESHO KUUNGURUMA MKOANI GEITA

 Wananchi wa mji wa Ngara na vitongoji vyake wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya posta mjini humo,huku wakishangilia wakati Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao na kuwaomba ridhaa ya kuwa Rais na kuiongoza nchi Tanzania katika awamu ya tano.Dkt Magufuli amekamilisha mikutano yake ya kampeni zake katika mkoa wa Kagera wenye jumla ya majimbo 9 ya Uchaguzi. PICHA NA MICHUZI JR-KAGERA
 Sehemu ya umati wa watu ulikuwa umefika kwenye mkutano wa kampeni wa Dkt...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI ATIKISA MJI MDOGO WA KATORO MCHANA HUU MKOANI GEITA

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita mapema leo mchana kwenye viwanja vya mnada wa Ng'ombe,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo maelfu ya Wananchi wamehudhuria Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwandani Wagombea Ubunge wa jimbo la Bukombe na Chato mapema mchana huu alipokuwa akiwahutubia wananchi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita, kwenye viwanja vya mnada wa Ng'ombe,katika mkutano wa hadhara wa...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE KAGERA, KESHO KUUNGURUMA MKOANI GEITA



1
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mpya jukwaani kwa kupiga Push Up kama kumi hivi ili kuwadhihirishia wananchi wa Mjini Karagwe mkoani Kagera  kuwa yuko fiti kiafya ili kuwatumikia watanzania mara watakapompa ridhaa ya kuwaongoza Watanzania ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani .
Huku umati wa Wakazi wa Karagwe...

 

5 years ago

Michuzi

PICHA MBALIMBALI ZIKIONESHA RAIS MAGUFULI ALIPOWASI CHATO MKOANI GEITA AKITOKEA DODOMA.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Machi, 2020 amewasili Chato Mkoani Geita akitokea Mkoani Dodoma.

Mhe. Rais Magufuli ametua katika uwanja wa ndege wa Chato na kisha kuelekea nyumbani kwake katika kitongoji cha Lubambangwe, Kijiji cha Mlimani Wilayani Chato.





 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI YASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID EL HAJJ MKOANI GEITA LEO

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania na Mjumbe wa Kamati  Kuu ya CCM,Ndugu Abdallah Bulembo ambaye pia ni Kiongozi wa msafara wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,akiwaongoza baadhi ya viongozi mbalimbali wa chama hicho na wageni waalikwa kutoka Serikali ya Mkoa wa Geita kukata Ndafu  ikiwa ni sehemu ya  kusherehekea sikukuu ya Eid El Hajj kwa pamoja,wakati wa mapumziko ya shughuli za kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU KANISA LA MTAKATIFU YOHANA- MARIA MZEYI PAROKIA YA MLIMANI CHATO MKOANI GEITA.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia ya Mlimani Chato mkoani Geita leo tarehe 10/04/2020.Padre Innocent Sanga akiongoza Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani