Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli aunguruma nyumbani kwa Kikwete

g4Na Bakari Kimwanga, Bagamoyo

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kugundulika kwa gesi wilayani Bagamoyo kutatimiza ndoto yake ya kuijenga  Tanzania mpya ya viwanda.

Dk. Magufuli ametoa kauli hiyo wilayani Bagamoyo, katika mikutano yake ya kampeni aliyoifanya kwenye majimbo ya Chalinze na Bagamoyo.

Alisema Tanzania mpya yenye kutoa ajira kwa vijana na kuwawezesha wanawake na wazee kiuchumi inakuja chini ya Serikali ya awamu ya tano, ambayo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MAGUFULI AUNGURUMA BUMBULI

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Jonh Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Bumbuli, wilayani Lushoto, mkoani Tanga leo.…

 

9 years ago

Mtanzania

Ukawa wavamia nyumbani kwa Rais Kikwete

duniNa Elias Msuya, Bagamoyo

MGOMBEA Mwenza wa Chadema kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji, ametinga wilayani Bagamoyo na msafara wake ikiwa ni mwendelezo wa safari zake za kampeni.

Wakizungumza katika mkutano huo uliofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo, makada wa umoja huo, waliwataka wananchi wa Bagamoyo kumchagua mgombea urais, Edward Lowassa, ili atatue kero zao.

Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Zanzibar), Ali Said Mohamed, alisema wilaya hiyo ndiko anakotoka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atoa pole nyumbani kwa marehemu Jaji Mstaafu Lewis Makame

jm1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es salaam aliyefariki  katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Agosti, 2014.

jm2

Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji...

 

9 years ago

Michuzi

Mama Salma Kikwete aunguruma katika kampeni za ubunge chalinze

Mama Salma Kikwete amesema kuwa vyama vya upinzani havina uwezo wa kutatua changamoto za maendeleo kwani havina ilani za uchaguzi ambazo ni mkataba baina ya wananchi na viongozi . Aliyasema hayo kwenye kata ya Pera Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni wa kumnadi mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete na diwani wa kata hiyo Lekapo Laini. Mama Salma alisema kuwa ilani ndiyo mkataba baina ya viongozi na wananchi juu ya...

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE AUNGURUMA KATA YA BWILINGU NDANI YA JIMBO LA CHALINZE

Meneja wa Kampeni wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Steven Kazidi (kushoto) akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya Bwilingu wakati wa kumnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete.  Diwani wa Kata ya Bwilingu,Nassar…

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE AUNGURUMA KATA YA BWILINGU NDANI YA JIMBO LA CHALINZE LEO

 Meneja wa Kampeni wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Steven Kazidi (kushoto) akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya Bwilingu wakati wa kumnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete.  Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya Bwilingu wakati wa Mkutano wa Kameni za CCM.  Diwani wa Kata ya...

 

10 years ago

GPL

DK. MAGUFULI ACHUKUA FOMU KWA KISHINDO, AIWASILISHA KWA RAIS KIKWETE KUTHIBITISHA

 Mgombea mteule wa Urais kwa tiketi wa CCM, Dk. John Magufuli na Mgombea mwenza Samia Salum leo .…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani