Magufuli: MCC imerahisisha kazi
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amesema Shirika la Maendeleo ya Milenia (MCC), limemrahisishia kazi ya kutoa fedha kwa Tanzania ya kusambaza umeme, hivyo hakutakuwa na ugumu katika usambazaji umeme.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen19 Dec
Magufuli nightmare over MCC funding
9 years ago
Habarileo21 Nov
Magufuli ni kazi tu
RAIS John Magufuli ameeleza muongozo wa Serikali ya Awamu ya Tano, huku akisema amejipa kazi ya kutumbua jibu, ambalo anajua kuwa utumbuaji huo unauma, lakini hana namna. Akielezea sababu ya kujipa jukumu hilo, Dk Magufuli alianza kwa kuelezea mambo aliyolalamikiwa na wananchi wakati alipokuwa akifanya kampeni, ambapo alitumia barabara kuzungukia wananchi nchi nzima.
9 years ago
GPLMAGUFULI AMALIZA KAZI
9 years ago
CCM BlogMAGUFULI AFUNGA KAZI MWANZA
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo amehitimisha kampeni zake jijini Mwanza ambapo maelfu ya wananchi walihudhuria. Katika mkutano huo wa kampeni za aina yake zimehudhuriwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete pamoja na mgombea mwenza wa urais Samia Suluhu Hassan Akizungumza katika mkutano huo Dk. Magufuli amesema katika...
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Magufuli: Asiyefanya kazi na asile
9 years ago
VijimamboMAGUFULI AFUNGA KAZI SUMBAWANGA MJINI
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly . Kada wa CCM Mzee Chrisant...
10 years ago
GPLKUMBE MAGUFULI MKALI WA HIZI KAZI
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Magufuli: Nipeni kazi nizibe mirija ya ufisadi
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
Magufuli aamua sikukuu iwe siku ya kazi