Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli: Asiyefanya kazi na asile

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amewataka wananchi kujipanga kufanya kazi kwa sababu Serikali yake haitavumilia watu wavivu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Magufuli ni kazi tu

RAIS John Magufuli ameeleza muongozo wa Serikali ya Awamu ya Tano, huku akisema amejipa kazi ya kutumbua jibu, ambalo anajua kuwa utumbuaji huo unauma, lakini hana namna. Akielezea sababu ya kujipa jukumu hilo, Dk Magufuli alianza kwa kuelezea mambo aliyolalamikiwa na wananchi wakati alipokuwa akifanya kampeni, ambapo alitumia barabara kuzungukia wananchi nchi nzima.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AMALIZA KAZI

Na Richard Bukos, Pwani MGOMBEA Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, (pichani) amemaliza kazi huku akitarajia kumwaga sera za mwisho katika Viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam kabla ya kesho kuhitimisha fainali kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Magufuli, ambaye ameongeza kasi na kubadili mitazamo ya watu kadiri siku za kampeni zilivyokuwa zikisonga, anaelezwa na wachambuzi wa masuala ya siasa...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli: MCC imerahisisha kazi

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amesema Shirika la Maendeleo ya Milenia (MCC), limemrahisishia kazi ya kutoa fedha kwa Tanzania ya kusambaza umeme, hivyo hakutakuwa na ugumu katika usambazaji umeme.

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI AFUNGA KAZI MWANZA

 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe akiwasili kwenye uwanja wa CCM Kirumba tayari kuhutubia mkutano wa kufunga kampeni za CCM jijini Mwanza.
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo amehitimisha kampeni zake jijini Mwanza ambapo maelfu ya wananchi walihudhuria. Katika mkutano huo wa kampeni  za aina yake zimehudhuriwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete pamoja na mgombea mwenza wa urais Samia Suluhu Hassan Akizungumza katika mkutano huo Dk. Magufuli amesema katika...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AFUNGA KAZI SUMBAWANGA MJINI

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini tayari kuwahutubia wakazi wa mji huo. Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly . Kada wa CCM Mzee Chrisant...

 

10 years ago

GPL

KUMBE MAGUFULI MKALI WA HIZI KAZI

Mwandishi wetu WAKATI mteule wa Chama Cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mkuu ujao, John Pombe Magufuli akifahamika kama mtu makini kwenye utekelezaji wa majukumu yake, imethibitika kuwa waziri huyo wa Ujenzi pia ni mkali kwenye upigaji wa tumba, Risasi Jumamosi linakupa zaidi....Soma zaidi===>http://bit.ly/1HXNIL8

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli amfuta kazi afisa mkuu wa reli

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa kampuni ya reli Tanzania (RAHCO) Benhadard Tito.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nipeni kazi nizibe mirija ya ufisadi

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli, amesema Tanzania ni tajiri wa rasilimali lakini ipo mirija michache inayotiririsha ulaji kwa mafisadi ambayo anataka kuiziba.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli atakiwa kuzuia baa wakati wa kazi

WAKAZI wa Jiji la Arusha wamemtaka Rais Mteule, Dk John Magufuli kuhakikisha anasimamia utekelezaji na uwajibikaji kwa kila Mtanzania na kupiga vita baa na vijiwe vya kahawa kufunguliwa wakati wa kazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani