Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI AMALIZA KAZI

Na Richard Bukos, Pwani MGOMBEA Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, (pichani) amemaliza kazi huku akitarajia kumwaga sera za mwisho katika Viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam kabla ya kesho kuhitimisha fainali kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Magufuli, ambaye ameongeza kasi na kubadili mitazamo ya watu kadiri siku za kampeni zilivyokuwa zikisonga, anaelezwa na wachambuzi wa masuala ya siasa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA KAZI NA AJIRA AMALIZA MGOMO WA MADEREVA

Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudencia Kabaka amefanikiwa kumaliza mgomo wa madereva baada ya kutangaza kufuta agizo lililokuwa likiwataka madereva wa mabasi na malori kwenda kusoma tena katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Kauli hii imekuja baada ya madereva wa mabasi yaendayo mikoani pamoja na mabasi yanayofanya kazi ndani ya jiji la Dar es Salaam kugoma huku wakitaka kuongea na viongozi wa juu wa serikalini ili kutatua tatizo lao.(Picha kutoka Maktaba)




 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AMALIZA BIFU LA KIBA, DIAMOND

Mwandishi wetu Ikiwa imebaki siku moja kabla ya uchaguzi mkuu, hatimaye mgombea wa nafasi ya urais kwa leseni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli amemaliza yale mabifu sugu kati ya manguli wawili wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na lile la Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel, Ijumaa linaweza kuripoti. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1KsV75W ...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AMALIZA KAZI JIMBO LA MONDULI, AMNADI JULIUS KALANGA KUWA NDIEANAFAA KUSHIKA MIKOBA YAKE

 Umati wa Wananchi wa Mji wa Monduli ambako ni Nyumbani kwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, wakionekana kushangiliwa kwa furaha pindi Chopa yake ilipokuwa ikishuka katika Uwanja wa Polisi Monduli, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake,  Oktoba 5, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Wananchi wa Mji wa Monduli wakionyesha upendo wao kwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA AENDELEA KUCHANJA MBUGA,AMALIZA KAZI MKOA WA SINGIDA KUHAKIKISHA CCM INASHINDA KWA KISHINDO

Chopa ya Chama Cha Mapinduzi ikiongozwa na Mjumbe wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi ikipasua ANGA la Mkoa wa Singida hii leo wakati wa kampeni kwenye Majimbo mbalimbali.Mapema leo,Mwigulu Nchemba akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Igunga Ndg.Dalalary Kamfumu.Mwigulu ametumia nafasi hiyo kuwaasa wananchi wa Igunga kuichagua CCM kwenye nafasi zote,Swala la Mabadiliko halinauhusiano na vyama vya siasa,Mabadiliko ni shughuli za Maendeleo,Sehemu ukiona hakuna Umeme pakawekwa Umeme hayo...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE KAGERA, KESHO KUUNGURUMA MKOANI GEITA



1
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mpya jukwaani kwa kupiga Push Up kama kumi hivi ili kuwadhihirishia wananchi wa Mjini Karagwe mkoani Kagera  kuwa yuko fiti kiafya ili kuwatumikia watanzania mara watakapompa ridhaa ya kuwaongoza Watanzania ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani .
Huku umati wa Wakazi wa Karagwe...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE MKOA WA LINDI,AANZA MKOA WA PWANI KWA KISHINDO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkuranga jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake mkoa wa Lindi na baade ameendelea na kampeni zake ndani ya mkoa wa Pwani,ambapo anatarajia kujinadi maeneo mbalimbali ya mkoa Pwani katika kuwaomba ridhaa ya kuwaongoza wananchi katika awamu ya tano,katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyia Oktoba 25 mwaka huu.Mgombea Urais wa...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli ni kazi tu

RAIS John Magufuli ameeleza muongozo wa Serikali ya Awamu ya Tano, huku akisema amejipa kazi ya kutumbua jibu, ambalo anajua kuwa utumbuaji huo unauma, lakini hana namna. Akielezea sababu ya kujipa jukumu hilo, Dk Magufuli alianza kwa kuelezea mambo aliyolalamikiwa na wananchi wakati alipokuwa akifanya kampeni, ambapo alitumia barabara kuzungukia wananchi nchi nzima.

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI AFUNGA KAZI MWANZA

 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe akiwasili kwenye uwanja wa CCM Kirumba tayari kuhutubia mkutano wa kufunga kampeni za CCM jijini Mwanza.
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo amehitimisha kampeni zake jijini Mwanza ambapo maelfu ya wananchi walihudhuria. Katika mkutano huo wa kampeni  za aina yake zimehudhuriwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete pamoja na mgombea mwenza wa urais Samia Suluhu Hassan Akizungumza katika mkutano huo Dk. Magufuli amesema katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Asiyefanya kazi na asile

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amewataka wananchi kujipanga kufanya kazi kwa sababu Serikali yake haitavumilia watu wavivu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani