Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli: Mshukuruni Kikwete akiwa hai

Waziri wa Ujenzi, John MagufuliWAZIRI wa Ujenzi, John Magufuli amesema, Watanzania wanapaswa kumshukuru Rais Jakaya Kikwete wakati akiwa hai kutokana na mema mengi aliyowatendea badala ya kusubiri kusema pengo lake halitazibika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Azikwa akiwa hai India

Mtu mmoja nchini India amefariki baada ya wafanyikazi wa ujenzi ambao hawakumuona katika shimo kumzika akiwa hai.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kijana aokolewa akiwa hai Nepal

Kijana mwenye umri wa miaka 15 ameokolewa akiwa hai baada ya kufunikwa na kifusi cha Jengo

 

10 years ago

StarTV

Kijana aokolewa akiwa hai toka katika kifusi Nepal.

Watoa huduma za uokoaji huko mji mkuu wa Nepal Kathmandu, wamefanikiwa kumuokoa kijana mmoja mwenye umri wa miaka 15 aliyepatikana hai baada ya funikwa na vifusi vya jengo alilokuwemo wakati wa tetemeko la ardhi kukumba taifa hilo siku tano zilizopita.

Licha ya kuwa chini ya maporomoko hayo kwa siku hizo tano isaidiwa na mwanya uliokuwa ukipenyeza hewa iliyomwezesha kupumua japo kwa shida.

Makundi ya watu walimshangilia alipotolewa huku akionekana akijitahidi kufungua macho yake.Alikimbizwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKE WA DAVID HAINES ATAKA JIHAD JOHN AKAMATWE AKIWA HAI

Mauaji ya kundi la Islamic State
Dragana Haines mke wa David Haines,mamlaka zinapaswa kumsaka na kumkamata akiwa hai mtu aliyemuua mume wake kwa kumchinja baada ya kutekwa na kundi la wapiganaji wa dola ya kiislam Islamic State wakati akifanya kazi na shirika la misaada la Uingereza.Mtu aliyemchinja David Haines na wengine tayari amefahamika kuwa ni Mohamed Emwazi.

Bi.Dragana amesema tangu alipojua kuwa mmewe David amechinjwa alijipa matumaini moyoni mwake kuwa ipo siku muuaji huyo atafahamika...

 

10 years ago

GPL

NEPAL: KIJANA AOKOLEWA AKIWA HAI BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI KWA SIKU TANO

Kijana aliyeokolewa baada ya kufunikwa na kifusi kwa siku tano wakati wa tetemeko la ardhi mjini Kathmandu. Kufuatia tetemeko kubwa la aridhi kuukumba Mji wa Kathmandu nchini Nepal siku tano zilizopita, waokoaji wamefanikiwa kumuokoa kijana mmoja mwenye umri wa miaka 15 aliyepatikana hai baada ya kufunikwa na vifusi vya jengo alilokuwemo wakati wa tetemeko hilo. Licha ya kuwa chini ya maporomoko ya vifusi hivyo kwa siku tano,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona Ecuador: Wakati familia zinatafuta wapendwa wao mwanamke apatikana akiwa hai

Ecuador ikiwa imeathirika vibaya na ugonjwa wa Covid-19 familia ziko mbioni kutafuta miili ya wapendwa waohuku mama aliyesemekana amekufa akipatikana akiwa hai.

 

9 years ago

Mwananchi

Zijue saa 72 za Dk Magufuli akiwa Ikulu

Baada ya Rais John Magufuli kuanza kwa kishindo maisha ya Ikulu kwa kutekeleza kauli mbiu yake ya “hapa kazi tu”, watu walioongea na gazeti hili wameonyesha kuridhishwa, lakini baadhi wakimpinga na wengine kumkosoa.

 

9 years ago

Habarileo

Wasanii kufaidika na Magufuli akiwa rais

MGOMBEA Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dk John Magufuli amesema kuwa akichaguliwa kuongoza nchi atahakikisha wasanii na wachezaji wanafaidika na kazi yao.

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARALE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA

Mbunge wa Jimbo la Hai  Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na Viongozi wengine wa wilaya ya Hai, wakitizama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Mbowe akijadili jambo na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka na viongozi wengine baada ya kuona namna ambavyo miundo mbinu ya reli ilivyosombwa na maji.
Baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani