Magufuli: Nitafuata nyayo za watangulizi wangu
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema ataongoza nchi kwa kufuata nyayo za watangulizi wake, ili kuleta maendeleo ya kweli.
Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti, alipohutubia mikutano ya kampeni katika majimbo ya Isimani mkoani Iringa, Kibakwe na Mtera mkoani Dodoma.
Alisema kazi iliyofanywa na watangulizi wake, imekuwa nzuri na yenye mafanikio, hali ambayo imeifanya Serikali ya Marekani kupitia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo07 Jan
Aahidi kufuata nyayo za Magufuli
MBUNGE wa Pangani, Jumaa Awesso (CCM), amepongeza utendaji kazi wa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli katika suala la ukusanyaji mapato na kuahidi kwamba atashirikiana na wadau wa wilaya yake kuendana na kasi hiyo kwa kubuni vyanzo vipya vya mapato na kusimamia vizuri vilivyopo.
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
DC Mkalama afuata nyayo za Rais Magufuli, amsimamisha kazi kwa muda usiojulikana Katibu Afya wake
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Christopher Ngubiangai,akitoa taarifa ya kumsimamisha kazi kwa muda usiojulikana katibu wa afya wa wilaya ya Mkalama,James Ndembo,kwa tuhuma ya kutafuna zaidi ya shilingi 19.6 milioni zilizokuwa zitumike kuhabarisha na kutoa elimu kwa wananchi,juu ya magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele.(Picha na Nathanile Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida,Christopher Ngubiangai,ameanza rasmi ‘kutumbua majipu’ baada ya...
9 years ago
Habarileo09 Oct
Slaa: Rais wangu ni Dk Magufuli
KATIBU Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema anamkubali kwa asilimia 90 mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli akisema anafaa kwa nafasi hiyo kwa kuwa ni jasiri na ana uwezo wa kupambana na ufisadi.
9 years ago
Habarileo06 Oct
Magufuli: Uadilifu wangu hauna shaka
MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema uadilifu wake ni wa kuaminika na ameamua kujitoa sadaka kwa ajili ya kutumikia Watanzania katika uhai wake. Akihutubia mkutano wa kampeni mjini Katesh wilayani Babati mkoani Manyara, jana, Magufuli alisema anachotaka ni kufanya kazi na si siasa.
9 years ago
Mtanzania27 Aug
Magufuli: Mawaziri wangu watafanya kazi usiku na mchana
![Waziri John Magufuli](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/John-Magufuli-300x203.jpg)
Waziri John Magufuli
Na Bakari Kimwanga, Tunduma
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema akifanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, atakuwa na baraza dogo la mawaziri litakalofanya kazi usiku na mchana.
Akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa kampeni mkoani Rukwa juzi, Dk. Mgufuli alisema mawaziri wake watahudumia wananchi kwa wakati na si kukaa ofisini na kusubiri kuletewa taarifa.
“Nitateua mawaziri wachache na wenye uadilifu, kama kuna waziri...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-jBzt9JKr9rg/XsGX3oXJyII/AAAAAAABMH4/KXzQk2hCcU02y60bXl7QJ179yt7ERvl0ACLcBGAsYHQ/s72-c/10...jpg)
RAIS MAGUFULI: MTOTO WANGU ALIUGUA CORONA NA KUPONA KWA KUJIFUKIZA,KULA MALIMAO
![](https://1.bp.blogspot.com/-jBzt9JKr9rg/XsGX3oXJyII/AAAAAAABMH4/KXzQk2hCcU02y60bXl7QJ179yt7ERvl0ACLcBGAsYHQ/s400/10...jpg)
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kwamba mwanawe aliambukizwa virusi vya corona lakini akapona baada ya kujitenga,kunywa malimao na kujifukiza.Rais Magufuli amezungumza wakati akitoa salamu kwa watanzania aliposhiriki ibada ya Jumapili katika kanisa la kilutheri Usharika wa Chato mkoani Geita.''Mtoto wangu alipata corona....mtoto wa kuzaa mimi , alijifungia kwenye chumba huko akaanza kujifukiza akanywa malimao na tangawizi, amepona yuko mzima anapiga push ups''...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlkFoOtGIWi2WTrC-EbDaDZYf*VnfC038oJEfTUjJ4xVMbqPr7bAhphV222lSS034ADfWSENkyYLtK79hQri4oY/wananitesa.jpg)
MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
9 years ago
Bongo529 Dec
Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego
![Chagga-na-Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.
Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego
Siku...
10 years ago
Bongo516 Jan
Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!