Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI: NITAJENGA KARATU MPYA!

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli akimwaga sera kwa wakazi wa Hanang. Wakazi wa Kijiji cha Muslur, mkoani Manyara wakimshangilia Magufuli. Magufuli akiingia Mbulu Mjini. Magufuli akimwaga sera kwa wakazi wa Mbulu Mjini.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Magufuli : Nitajenga hospitali za rufaa kila mkoa

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Magufuli ameahidi kujenga hospitali za rufaa kila mkoa iwapo atachaguliwa kuingia Ikulu mwaka huu.

 

9 years ago

StarTV

Magufuli kuboresha sekta ya mifugo Karatu

Mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi John Pomba Magufuli ameweka  bayana nia yake ya kuboresha bidhaa zitokanazo na mifugo kwa kuweka mazingira safi na yakisasa kwa wafugaji kote nchini.

Katika mkutano wake wa hadhara mjini Karatu mkoani Manyara  Magufuli amesema bidhaa nyingi zitokanazo  na mifugo kutoka nchini Tanzania zimekuwa zikikutana na vikwazo katika masoko ya kimataifa kutoka na mazingira magumu wanayokumbana nayo wafugaji.

Kwa kauli hiyo  Magufuli anajidhatiti kuleta...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk John Magufuli ammwagia sifa Dk Slaa Karatu

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli jana aliwahutubia mamia ya wakazi wa Karatu na kummwagia sifa aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kuwa ni kiongozi mwadilifu.

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI ABOMOA NGOME ZA CHADEMA HANANG, MBULU NA KARATU. AMMWAGIA SIFA LUKUKI DKT. SLAA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwaambia wananchi wa Karatu katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Bwawani,kuwa mmoja wa viongozi wa upinzani anayempenda kwa dhati, ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt Wilbrod Slaa,amesema kuwa ni kiongozi imara asiyependa kuyumbshwa na kwamba ni kiongozi anayeweza kuwa na msimamo thabiti na mapenzi makubwa na nchi yake Tanzania.Umati wa Washabiki na wafuasi wa CCM waliokusanyika katika...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Shein: Mkinichagua nitajenga kiwanda cha kusindika samaki.

NA WAANDISHI WETU 21st September 2015 Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohammed Shein (pichani), ameahidi kuwa akichaguliwa serikali yake itajenga kiwanda cha kisasa cha kusindika samaki kwenye makopo […]

The post Shein: Mkinichagua nitajenga kiwanda cha kusindika samaki. appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Dewji Blog

Nitaondoa njaa, wakulima watatumia helkopta kumwagilia mashamba, nitajenga vituo maalumu vya Albino na wazee — Rungwe

hashim..2

Mgombea Urais wa CHAUMA,Hashim Rungwe katika pozi tofauti akihutubia wananchi wa Singida mjini jana.

hashim

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMA) Hashim Rungwe akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni Mkoani  Singida, ambapo aliahidi kuwaondolea wananchi njaa.

hshim..3

Mgombea mwenza wa CHAUMA Issa Abas Husein nae akihutubia wananchi wa Singida mjini.

wananchi

WANANCHI wakimsikiliza Mgombea Urais wa CHAUMA kwenye kituo cha stendi ya zamani Mjini Singida jana.

STAILI

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli mgeni rasmi mwaka mpya

RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkesha wa kuiombea Amani Tanzania utakaofanyika Desemba 31 katika uwanja wa Taifa. Akizungumza Dar es Salaam jana Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Pentekoste (TFC) Godfrey Malassy alisema maandalizi yote yamekamilika ikiwemo kibali kutoka polisi, pamoja washiriki mbalimbali watakaoshiriki katika mkesha huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli: Mfumo mpya waja mizani

WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli, amezitaka sekta za usafirishaji nchini kujiandaa na mfumo wa kisasa wa upimaji katika mizani ya magari inayojengwa Vigwaza Mkoa wa Pwani kwa ajili ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aahidi Tanzania mpya kama atachaguliwa

Mgombea wa Urais kupitia CCM, Dk John Pombe Magufuli amemaliza kampeni katika mkoa wa Njombe na kuwaomba Watanzania kumchagua kwa kuwa ana mpango wa kuijenga Tanzania mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani