Mahakama Kuu Tabora yawabana wanachama wa CUF
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imetoa sharti kwa wanachama wanne wa Chama cha CUF kulipa dhamana ya SH9 milioni ili kesi waliyofungua kupinga matokea ya uchaguzi katika Jimbo la Tabora Mjini ianze kusikilizwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Nov
Kafulila afungua kesi Mahakama Kuu Tabora
Na Murugwa Thomas, Tabora
ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kupitia Chama cha NCCR – Mageuzi, amefungua kesi Mahakam Kuu Kanda ya Tabora kupinga ushindi wa Hasna Mwillima wa Chama Cha Mapindunzi (CCM), aliyetangazwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
Kafulila amewasilisha pingamizi hilo jana kupitia kwa wakili wake, Daniel Lumenyela, huku akiwa ameambatanisha nakala za fomu za matokeo ya kura ya vituo vyote 382 vya jimbo hilo ambazo...
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Mgombea ubunge CUF akwama kufungua kesi Mahakama Kuu
5 years ago
MichuziMAHAKAMA KUU KANDA DARESALAAM YATOA HUKUMU KWA MAHAKAMA MTANDAO
10 years ago
MichuziJK aapisha jaji mmoja wa mahakama ya rufani na 13 wa mahakama kuu Ikulu jijini Dar es salaam
10 years ago
Dewji Blog11 Dec
Rais Kikwete ateua wasajili wapya Bi. Katarina Revocati Mahakama ya Rufani na Rugalema Kahyoza Mahakama kuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bi. Katarina Tengia Revocati kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani kuanzia tarehe 5 Desemba, 2014. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue, imesema kabla ya uteuzi huo, Bi. Revocati alikuwa Msajili wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Biashara.
Vilevile katika Taarifa hiyo, Rais Kikwete pia amemteua Bwana Rugalema J. Kahyoza kuwa Msajili wa Mahakama...
10 years ago
MichuziJUST IN: MAHAKAMA KUU imeifutilia mbali kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chadema
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeifutilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kukubali mapingamizi yaliwasilishwa na chama hicho.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Richard Mziray baada ya kupitia hoja za pande zote mbili kuhusu mapingamizi ya Chadema.
Mapema Saa 3:20 asubuhi Jaji Mziray alisoma uamuzi huo mbele ya wanaodaiwa kuwa wanachama huku upande...
9 years ago
StarTV10 Nov
Wanachama wa CUF wavutana Tanga Â
Wanachama zaidi ya mia moja wa chama cha wananchi CUF wilaya ya Pangani Mkoani Tanga wametishia kujeresha kadi zao za chama na kujiunga na vyama vingine vya siasa..
Madai ya wanachama hao ni kutaka kurejeshwa kwa jina la aliyekuwa mbunge wa viti maalumu Amina Mwidau kwa kuwa ndiye aliyeshinda kwenye kura za maoni na kuliondoa jina na Saumu Sakala aliyeshika nafasi ya pili kwenye mchakato wa kura za maoni.
Wananchi wa chama cha wanchi CUF waliokuwa wakitishia kukihama chama hicho kufuatia...
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
CUF yavuna Tabora
Na Mwandishi wetu
Chama Cha Wananchi (CUF) kimevuna wanachama zaidi ya 400 kutoka vyama mbalimbali vya siasa kikiwemo Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya Chama hicho kufika katika maeneo yaliyokumbwa na operesheni iliyoacha kaya zaidi ya 300 zikiwa hazina nyumba,vyakula wala nguo baada ya kuchomwa moto na askari wanaodaiwa kuwa ni wa maliasili kwa kile kilichodaiwa kuwa walikuwa wakiishi ndani ya hifadhi ya msitu wa Ogala.
Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki katika Vitongoji saba...
11 years ago
Mwananchi27 Jun
Wanachama 34 CUF wawakataa Seif, Lipumba