Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF yavuna Tabora

c4

Na Mwandishi wetu

Chama  Cha Wananchi (CUF) kimevuna wanachama zaidi  ya 400 kutoka vyama mbalimbali vya siasa kikiwemo Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya Chama hicho kufika katika maeneo yaliyokumbwa na operesheni iliyoacha kaya zaidi ya 300 zikiwa hazina nyumba,vyakula wala nguo baada ya kuchomwa moto na askari wanaodaiwa kuwa ni wa maliasili kwa kile kilichodaiwa kuwa walikuwa wakiishi ndani ya hifadhi ya msitu wa Ogala.

Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki  katika Vitongoji saba...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CCM YAVUNA VIGOGO CUF NA ACT WAZALENDO

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Tandahimba kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) Selemani Bakari Namkulya Pamoja na Mwenyekiti Chama Cha ACT Wazalendo Juma Halidi Mngawa leo Jumamosi Juni 6, 2020 wametangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapunduzi (CCM) kutokana na kuvutiwa na maendeleo ambayo Wananchi wamekuwa wakiyahitaji kwa muda mrefu yakitekelezwa na Rais Magufuli hivyo hawaoni sababu ya kuendelea kubaki huko zaidi ya kurudi kuungana na Rais Magufuli kuleta maendeleo kwa Watu.

"Nikiwa na...

 

9 years ago

Mwananchi

Mahakama Kuu Tabora yawabana wanachama wa CUF

Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imetoa sharti kwa wanachama wanne wa Chama cha CUF kulipa dhamana ya SH9 milioni ili kesi waliyofungua kupinga matokea ya uchaguzi katika Jimbo la Tabora Mjini ianze kusikilizwa.

 

9 years ago

StarTV

  CUF kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi Tabora mjini.

Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Tabora kimeazimia kufungua kesi mahakamani mapema wiki hii kupinga matokeo ya ubunge dhidi ya mgombea wa CCM aliyetangazwa kuwa mshindi wa Jimbo la Tabora Mjini.

Kauli hiyo imetolewa kutokana na kile kilichodaiwa kuwa mgombea wa CUF alipata kura nyingi zaidi ya mgombea wa Chama cha Mapinduzi.

 Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia CUF chini ya mwamvuli wa UKAWA, Peter Mkufya akisisitiza kwenda mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuporwa...

 

5 years ago

Michuzi

Maji ya Ziwa Victoria Kufika Tabora sio ndoto tena, ni kweli tumeyaona- Wananchi wa Tabora



 Mkurugenzi wa Idara ya Usambazaji Maji, Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Kemikimba akipanda katika tanki la maji la Ushirika wilayani Igunga kujionea kiwango cha msukumo wa maji. Tanki hilo lina uwezo wa kutunza maji lita milioni 2.5 na linatosha kuhudumia mji wa Igunga na pembezoni..Moja ya tanki la kuhifadhi maji kwa ajili ya huduma kwa wananchi...

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Mkoa wa Tabora hali si nzuri kwa Ukawa majimbo ya Uyui, Tabora na Igalula

Wilaya ya Uyui ni moja kati ya wilaya saba za mkoa wa Tabora na inaundwa na kata 29, vijiji 156 na vitongoji 688. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 wilaya hii ina jumla ya wakazi 396,623 kwa maana ya wanaume 196,446, wanawake 200,177 na kuna wastani wa watu 6.6 katika kila kaya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba yavuna sare Mbeya

TIMU za Simba na Mbeya City, jana zilishindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mechi kali iliyokuwa na ushindani dakika zote 90 iliyopigwa Uwanja wa Sokoine, mjini...

 

9 years ago

GPL

PSPF YAVUNA WANACHAMA VOWET

Meneja wa Mfuko wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mwanjaa Sembe, (aliyesimama), akiwaongoza wanachama wapya waliojiunga na mpango huo, wakati wa warsha ya siku moja iliyowakutanisha maafisa na mabalozi wa PSPF, na wanakikundi wa Sauti ya Wanawake Wajasiriamali Tanzania, (VOWET), kwenye ukumbi wa Belmonte jijini Dar es Salaam, Oktoba 13, 2015. Balozi wa PSPF, Mwanamitindo wa Kimataifa aishie...

 

11 years ago

Mwananchi

NBC yavuna faida kabla ya kodi

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imepata faida kabla ya kodi ya Sh14.3 bilioni kulinganisha na mwaka 2012 ilipopata Sh3.9. Hilo ni ongezeko la zaidi ya Sh10.4 bilioni.

 

10 years ago

Mwananchi

ACT yavuna wanachama wapya 6,000

Bariadi. Chama cha ACT-Wazalendo kimehitimisha ziara katika mikoa 10 nchini huku kikijigamba kuingiza wanachama wapya zaidi ya 6,000.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani