Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAKAMA YA ICC YAIONYA KENYA

Rais wa Kenya, Rais Kenyatta. Mahakama ya kimataifa ya ICC, imeonya serikali ya Kenya dhidi ya kufichua taarifa kuhusu kesi inayomkabili Rais Uhuru Kenyatta kwa vyombo vya habari nchini humo. Rais Kenyatta amekuwa Rais wa kwanza aliye mamlakani kufika katika mahakama ya ICC kusikiliza kesi inayomkabili mapema mwezi huu. Rais wa Kenya, Rais Kenyatta (kulia) akiwa na wakili wake katika… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS UHURU KENYATTA AWASILI NCHINI KENYA AKITOKEA MAHAKAMA YA ICC

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya (kushoto) akilakiwa na Makamau wa Rais, William Ruto alipowasili JKIA leo alfajiri akitokea The Hague.Rais Uhuru Kenyatta pamoja na Mkewe wakisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa waliofika kuwapokea mara tu alipowasili toka kwenye mahama ya ICC na yeye kuwa kiongozi wa kwanza akiwa madarakani kushitakiwa na mahakama hiyo.Rais Uhuru Kenyatta na mkwewe wakisalimiana na viongozi mbalimbaliRais Uhuru Kenyatta na mkewe wakiendelea kusalimiana na viongozi wa...

 

10 years ago

CloudsFM

Mahakama ya Kimataifa ya ICC imeamua ktupilia mbali kesi ya Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya

Mwendeshaji mkuu wa mashitaka Fatou Bensouda ameondoa kesi dhidi ya Kenyatta ambaye alidaiwa kutenda uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa ghasia baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya.


Katika Taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo iliyopo nchini Uholanzi imesema kesi yake haikua na ushahidi wa kutosha wa Kenyatta kuhusika moja kwa moja na mauaji ya maelfu ya Wakenya wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.
Kenyatta alishtakiwa kama mshukiwa mkuu wa ghasia baada ya uchaguzi wa mwaka 2007/2008...

 

9 years ago

Mwananchi

Pongezi JK kuikubali Mahakama ya ICC

Katika hali isiyotarajiwa mwishoni mwa wiki, Rais Jakaya Kikwete alitoa kauli ya kuiunga mkono Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), iliyoko The Hague, nchini Uholanzi na kuwatahadharisha viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU), kwamba kuendelea kuonyesha chuki na kuishambulia mahakama hiyo kutatoa picha mbele ya jumuiya ya kimataifa kwamba viongozi wa Afrika wanataka kuongoza nchi zao bila kuwajibika wala kufuata utawala wa sheria

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama ya ICC inamfaidi nani?

Rais Kenyatta ni Rais wa kwanza aliye mamlakani kufika mbele ya mahakama hiyo. Hata hivyo, mahakama hii ilinudw akumsaidia nani hasa?

 

10 years ago

BBCSwahili

Palestina kujiunga na mahakama ya ICC.

kundi la wapiganaji la Hamas limetia sahihi ahadi ya kuunga mkono ombi lolote la Palestina kujiunga na ICC.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ongwen afikishwa katika mahakama ya ICC

Dominic Ongwen, amekuwa mwanachama wa kwanza wa kundi la LRA, kufika mbele ya mahakama ya kimataifa ya ICC.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mahakama yaruhusu Mkenya kufikishwa ICC

Mahakama imebatilisha uamuzi wa kuzuiya serikali ya Kenya kuwakilisha raiya mmoja ICC

 

5 years ago

BBCSwahili

Omar al Bashir kupelekwa mahakama ya ICC

Baraza la mpito limekubali kumkabidhi rais wa zamani Omar al Bashir kwa mahakama ya kimataifa ya ICC.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenyatta aipuzilia mbali mahakama ya ICC

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amepuzilia mbali onyo la jaji wa mahakama ya ICC ya kuwataka wakenya wakome kuijadili kesi hiyo ikisikizwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani