Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Palestina kujiunga na mahakama ya ICC.

kundi la wapiganaji la Hamas limetia sahihi ahadi ya kuunga mkono ombi lolote la Palestina kujiunga na ICC.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Palestina yapewa uanachama wa ICC

Wapalestina wamepata uanachama wa mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita miezi mitatu baada ya ombi lao kukubaliwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Palestina kuwa mwanachama wa ICC

Umoja wa mataifa umedhibitisha kuwa Palestina itakuwa mwanachama wa mahakama ya kimataifa ya ICC kuanzia tarehe mosi mwezi Aprili

 

10 years ago

BBCSwahili

USA:Palestina haifai kuwa mwanachama ICC

Marekani imesema kuwa imetamaushwa na hatua ya viongozi wa Palestina ya kutaka kujiunga na mahakama ya ICC

 

9 years ago

Mwananchi

Pongezi JK kuikubali Mahakama ya ICC

Katika hali isiyotarajiwa mwishoni mwa wiki, Rais Jakaya Kikwete alitoa kauli ya kuiunga mkono Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), iliyoko The Hague, nchini Uholanzi na kuwatahadharisha viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU), kwamba kuendelea kuonyesha chuki na kuishambulia mahakama hiyo kutatoa picha mbele ya jumuiya ya kimataifa kwamba viongozi wa Afrika wanataka kuongoza nchi zao bila kuwajibika wala kufuata utawala wa sheria

 

10 years ago

GPL

MAHAKAMA YA ICC YAIONYA KENYA

Rais wa Kenya, Rais Kenyatta. Mahakama ya kimataifa ya ICC, imeonya serikali ya Kenya dhidi ya kufichua taarifa kuhusu kesi inayomkabili Rais Uhuru Kenyatta kwa vyombo vya habari nchini humo. Rais Kenyatta amekuwa Rais wa kwanza aliye mamlakani kufika katika mahakama ya ICC kusikiliza kesi inayomkabili mapema mwezi huu. Rais wa Kenya, Rais Kenyatta (kulia) akiwa na wakili wake katika… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama ya ICC inamfaidi nani?

Rais Kenyatta ni Rais wa kwanza aliye mamlakani kufika mbele ya mahakama hiyo. Hata hivyo, mahakama hii ilinudw akumsaidia nani hasa?

 

10 years ago

BBCSwahili

Ongwen afikishwa katika mahakama ya ICC

Dominic Ongwen, amekuwa mwanachama wa kwanza wa kundi la LRA, kufika mbele ya mahakama ya kimataifa ya ICC.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mahakama yaruhusu Mkenya kufikishwa ICC

Mahakama imebatilisha uamuzi wa kuzuiya serikali ya Kenya kuwakilisha raiya mmoja ICC

 

5 years ago

BBCSwahili

Omar al Bashir kupelekwa mahakama ya ICC

Baraza la mpito limekubali kumkabidhi rais wa zamani Omar al Bashir kwa mahakama ya kimataifa ya ICC.

 

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani